KHM 1995
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 461
- 729
Hujawayi kukumbana na dhoruba... Ila siku ikikukumbuka utatamani ufute kauli yako hii...Mimi n mtu wa hali ya chini lakin ule uzagaaji wa machinga jijin mwanza siuungi mkono,mnatakiwa muondolewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawayi kukumbana na dhoruba... Ila siku ikikukumbuka utatamani ufute kauli yako hii...Mimi n mtu wa hali ya chini lakin ule uzagaaji wa machinga jijin mwanza siuungi mkono,mnatakiwa muondolewe
Wewe ukiwa umejificha milima ya uluguru hukoAcha wapigwe tu maana hakuna namna
Nchi lazima iendeshwa kwa kufuata sheria na taratibu.Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,
Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?
Tukale nyumbani kwenu?
Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza
Mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?
Mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?
Haiwezekani haiwezekani haiwezekani
Jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi.
Jumatatu mkae kwa umakini tuna jambo letu.
Tumechoka upuuzi
Heri wewe, Mungu aliyekubariki ukawa nacho, lakini Mungu aliye mnyima Huyo ni huyohuyo aliyekupa wewe, kwahiyo kama hajampa yeye basis hata wewe pia anaweza kukunyang'anya, Chunga maneno yako kijana, upo katika hii dunia iliyojaa majanga ,shida,vita na ufedhuli wa level ya PHd
Namba inasomwa kila mahaliNchi lazima iendeshwa kwa kufuata sheria na taratibu.
Barabara,zina maeneo yametengwa kwa ajili ya magari,two lane,kwa ajili ya kurahisisha movement ya magari na njia za waenda kwa miguu,na mitaro. Nyinyi hizi zote mmeziba. No way. Nchi haiwezi kuendeshwa kishamba namna hiyo!
Nyinyi ni kina nani? Nyinyi ni kundi maalumu ambalo hamuwezi kuguswa mnapovunja sheria? Mnajidanganya sana.
Muwe tayari kuvunjwa miguu,kufirisiwa,na hata kwenda jela kama mtaleta ubishi.
DahLeo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,
Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?
Tukale nyumbani kwenu?
Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza
Mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?
Mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?
Haiwezekani haiwezekani haiwezekani
Jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi.
Jumatatu mkae kwa umakini tuna jambo letu.
Tumechoka upuuzi
Elimu za chuo kikuu za kuzuia haki za wengine?Wakipatikana wenyew akili za ki hamza Hamza.....
Hiyo j3 tutasikia New things.....ila watanzania ni wavumilivu....
Na rafik angu ana BAED ila anauza mitumba mbagala.....
Serikali imebadilisha mlango na funguo....
Hongera kwa wote wenye bahati Zao duniani......
Baba angu mzazi ali wai kunambia yeye hakuwai ku husler kweny maisha yake......
Vijana na ELIMU Zao za chuo kikuu wameamua KUA chinga still inawazuia bila kuwapa the way forward.......
Huwa mnapata Raha gani kujiita masikini au mnaona sifaHii nchi tayali ipo mikononi mwa mabeberu na wanalindwa, kiukweli sisi masikini hatuna chetu tena , tumesharudi kulekule kwa mkwere, kipindi kile utawala uliwakumbatia sana mafisadi na mabebari waliokua wakiumiza hii n hi, mama ntilie na sisi wamachinga tulipata tabu sana na mamlaka zilizokua zikiwalinda mafisadi na mabonyenye wao, kiukweli MUNGU sijui ni kwa nini watu wazuri wanaopigania haki kwa wanyonge huwa hawaishi muda mrefu na sijui sir god nadhalia ipi anayoitumia kuwaweka muda mrefu duniani viongozi wasio kua na hofu ya MUNGU. Ombi letu kwake mama samia asiruhusu kufuta mazuri aliyokua ametufanyia magufuri hili kuwafuraisha makabaira. Asikubali kushawishiwa na viongozi waliomaliza muda wao japo kipindi chao mbk wafanyakazi hewa walilipwa mishahara wakamshauri alejeshe kwa kasi mambo yao, watatulia jinsia ya raisi kwa kumlaghai hiki miladi yao ya kifisadi ambayo magu aliishitukia wakataka airudishe kipindi hiki, wamachinga tunafamilia mama amuogope MUNGU km mwisilamu ajuwe si wote wenye uwezo wa kwenda kura moven pick au kilimanjaro hotel wengine mama ntilie ndio zetu jijini.
Nnapingana na wewe mkuu zipo nchi zisizokuwa na utaratibu duniani na Tanzania ni mojawapo. Kwa karibu miaka 6 sasa down the road nchi yetu imekosa utaratibu na tumeruhusu ujinga utuongoze unavyotaka matokeo yake tumefika hapa tulipo. Mambo ambayo yapo kisheria kabisa yanatuletea mijadala. Tunajadiliana nn na sheria zipo kuhusu hayo mambo kwanini tusifuate sheria zilizopo kwanza?Hakuna nchi siyo na utaratibu. Mtahama tu
Wewe ukiwa umejificha milima ya uluguru huko
Hiyo PGO mkajadiliane kijiweni, sisi mkiambiwa pisheni mkagoma mtapigwa tu! Na ninasema mpigwe tu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Ndiyo itakavyokuwa, CCM itageuka mtetezi wao, wala hawatafurushwa. Watapiga biashara kwa uhuru kabisa na wataichagua tena CCM mwaka 2025. Halafu wapinzani watakuja kuwaambia andamaneni nao watawacheka kama ulivyocheka sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lissu aliitisha maandamano yasiyokoma nchi nzima. siku ya kuandamana hata yeye hakuonekana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Teh teh teh teh...mbona una hasira sana kijana?...tatizo nini?Tatizo la chadema kuanzia baadhi ya viongozi na machawa (wafia Bendera) bado hawajajipambanunua kitasisi wao wamebase kiitikadi, hii kitu ni kansa kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, jenga ushawishi kwa wananchi wa kawaida walio wengi na usitafute huruma kwa kujiangalia kwenye kioo........
Dar wameshaanza kubomoa wenyewe bila shurti baada ya kipande Cha Airport Vingunguti kufanyiwa demonstration.Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,
Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?
Tukale nyumbani kwenu?
Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza
Mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?
Mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?
Haiwezekani haiwezekani haiwezekani
Jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi.
Jumatatu mkae kwa umakini tuna jambo letu.
Tumechoka upuuzi
Machinga walichokosea Ni kuhamishia maduka barabarani.Wangeendelea kuuza bidhaa za ndogondogo wasingefukuzwa.Kodi inatafutwaLiwalo na liwe patachimbika