Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,
Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?
Tukale nyumbani kwenu?
Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza
Mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?
Mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?
Haiwezekani haiwezekani haiwezekani
Jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi.
Jumatatu mkae kwa umakini tuna jambo letu.
Tumechoka upuuzimatat
Na hawaja fukuzwa. Bali wameambiwa waache maeneo wazi. Imagine hivi sasa miji yote hakuna parking, hakuna njia za watembea kwa miguu. Ccm imeharibu mipango miji nchi nzima. Wamachinga tembezeni vitu vyenuHakuna nchi siyo na utaratibu. Mtahama tu
Tafuta kazi nyinginr ya kufanya nyie machinga mmejaa vibaka tuLeo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,
Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?
Tukale nyumbani kwenu?
Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza
Mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?
Mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?
Haiwezekani haiwezekani haiwezekani
Jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi.
Jumatatu mkae kwa umakini tuna jambo letu.
Tumechoka upuuzi
Hahahahahahha hayaaaSiku zote tupo salama, iwe kwa kufuata utaratibu au kwa kutofuata.
Mlitumika kwenye uchaguzi msimlilie mtu
Hii nchi tayali ipo mikononi mwa mabeberu na wanalindwa, kiukweli sisi masikini hatuna chetu tena , tumesharudi kulekule kwa mkwere, kipindi kile utawala uliwakumbatia sana mafisadi na mabebari waliokua wakiumiza hii n hi, mama ntilie na sisi wamachinga tulipata tabu sana na mamlaka zilizokua zikiwalinda mafisadi na mabonyenye wao, kiukweli MUNGU sijui ni kwa nini watu wazuri wanaopigania haki kwa wanyonge huwa hawaishi muda mrefu na sijui sir god nadhalia ipi anayoitumia kuwaweka muda mrefu duniani viongozi wasio kua na hofu ya MUNGU. Ombi letu kwake mama samia asiruhusu kufuta mazuri aliyokua ametufanyia magufuri hili kuwafuraisha makabaira. Asikubali kushawishiwa na viongozi waliomaliza muda wao japo kipindi chao mbk wafanyakazi hewa walilipwa mishahara wakamshauri alejeshe kwa kasi mambo yao, watatulia jinsia ya raisi kwa kumlaghai hiki miladi yao ya kifisadi ambayo magu aliishitukia wakataka airudishe kipindi hiki, wamachinga tunafamilia mama amuogope MUNGU km mwisilamu ajuwe si wote wenye uwezo wa kwenda kura moven pick au kilimanjaro hotel wengine mama ntilie ndio zetu jijini.Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,
Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?
Tukale nyumbani kwenu?
Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza
Mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?
Mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?
Haiwezekani haiwezekani haiwezekani
Jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi.
Jumatatu mkae kwa umakini tuna jambo letu.
Tumechoka upuuzi
Safi sanaOndoa machinga wote mjini....na zoezi liwe endelevu
Heri wewe, Mungu aliyekubariki ukawa nacho, lakini Mungu aliye mnyima Huyo ni huyohuyo aliyekupa wewe, kwahiyo kama hajampa yeye basis hata wewe pia anaweza kukunyang'anya, Chunga maneno yako kijana, upo katika hii dunia iliyojaa majanga ,shida,vita na ufedhuli wa level ya PHdOndoa machinga wote mjini....na zoezi liwe endelevu
Maneno yanaunda na yakuwa verified (coded)Safi sana
Sawa!Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,
Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?
Tukale nyumbani kwenu?
Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza
Mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?
Mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?
Haiwezekani haiwezekani haiwezekani
Jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi.
Jumatatu mkae kwa umakini tuna jambo letu.
Tumechoka upuuzi
Hayo yote bure Tanzania bila tume huruUngekuwa unaijua siasa sasa hivi ungeficha hizi kumbukumbu mbovu, ungejifanya unasikitika nao ili hatimaye wakuone wewe una afadhali kuliko washindani wake. Siasa ni mchezo wa mahesabu ya kimkakati, kuvizia hisia za watu dhidi ya mshindani wako.