Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

Maneno matupu tu haya,mwaka jana kwenye uchaguzi kilichotokea mlijua wanaoadhibiwa ni wapinzani tu na nyie hayawahusu?

Sasa mtatoka na hamna kitu mtafanya na mkianza kuwa vibaka mitaani matairi yapo tutawakaanga.
Nakuunga mkono maana hao wamachinga walijisahau sana kwa kuanza kuwashambulia kwa maneno ya hovyo wapinzani.

Leo hii wanalipwa na mateke.
 
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,

Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?

Tukale nyumbani kwenu?

Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza

Mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?

Mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?

Haiwezekani haiwezekani haiwezekani

Jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi.

Jumatatu mkae kwa umakini tuna jambo letu.

Tumechoka upuuzi
Mkimaliza jumatatu , msubiri 2025 waonyeshe pia
 
Machinga wa jiji la Mwanza fanyeni mambo kisomi, mkitumia nguvu mtakwama mapema!
Najua wengi mpo humu....Watafute wabunge wa majimbo ya Ilemela, na Nyamagana pamoja na madiwani wote....waambia bila kuwaonyesha wapi mkafanyie biashara wasahau kura zenu 2025 wasahau....mtafute Mbunge Msukuma Kasheku muombe ushauri wa kiufundi...w
TAfuteni wagombea ubunge na madiwani walioondolewa au kushindwa kwa hila 2020 panga nao mbinu za kusamabaza chuki kwa Mabulas kuanzia kwa machinga , mama/baba Lishe.

Mwisho kuweni makini na viongozi wenu....karibia wananuliwa!
Kwakutumia wabunge hawatafanikiwa hili la machinga halihitaji siasa hata hivyo hawa wanao panga barabarani siyo machinga,hawa wengi, niwafanya biashara wakubwa wameajili watu kwa mbinu ya mauzo kwakinyakyusa tunaita 'marketing strategy based on demonstration and aggressive sellng'
 
Tulia wewe team Jiwe CCM ikudunge sindano.
CCM kwa miaka 60 yote hawajawahi kuleta ahueni kwa wananchi wake zaidi ya kuwaigizia.
Rais yeyote akijua kuwaigizia tu wajinga wanamshangilia
 
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,

Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?

Tukale nyumbani kwenu?

Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza

Mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?

Mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?

Haiwezekani haiwezekani haiwezekani

Jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi.

Jumatatu mkae kwa umakini tuna jambo letu.

Tumechoka upuuzi
Sasa kama we mwamba si uendelee tu mtaani
 
Mwanza ilishawajaribu wapinzani lakini hakuna alama yoyote walioiacha. Ukiona watu hawawaungi mkono hao wapinzani jua walishawaona hawana jipya.
Elimu ndogo tu nikusaidie kwa tanzania hii upinzani unahujumiwa na chama tawawa kwa sababu ndicho chenye serikali hivyo ni kawaida kabisa upinzania kuto zaa matunda
 
Mwanza ilishawajaribu wapinzani lakini hakuna alama yoyote walioiacha. Ukiona watu hawawaungi mkono hao wapinzani jua walishawaona hawana jipya.
Haya endeleeni na hao went jipya. Jumatatu mwisho wenu kutuzibia njia.
 
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,

Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?

Tukale nyumbani kwenu?

Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza

Mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?

Mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?

Haiwezekani haiwezekani haiwezekani

Jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi.

Jumatatu mkae kwa umakini tuna jambo letu.

Tumechoka upuuzi
Pole sana mkuu,hizi story huwa zinanisikitisha sana,yaani Kuna watu tumewapa kazi ya kuhudumia umma,lakini wameshindwa hawana majibu wanachofanya ni kufukuza wamachinga(vijana wasio na ajira rasmi),sasa unawafukuza wakapate kipato wapi?jamani !!
Katika ku hustle na maisha niliwahi Kufika Benk kuu kwa ajiri ya usaili wa kazi,nilichogundua watu wa serikali Hawajuhi magumu wanayopata wananchi wa kawaida.
 
Ila Mwanza jamani machinga mmezidi kuna ile barabara kuanzia dampo ukipanda nayo kuja huku liberty ni balaa yaani barabara imejaa nyanya ,viatu ,samaki,hoho na nguo halafu Sasa akipita mtu na gari machinga mnajikuta mna haki sana Hadi huwa najiuliza hii ni barabara au lilitengwa ni eneo la machinga? Wakati mwingine unakuta machinga wamejaa mbele ya duka la mtu Hadi duka halionekani yaani Kama sio mwenyeji unapita tu ukijua hamna duka hapo[emoji1][emoji1] machinga bwana.

Watafutiwe mahala aisee mji umechafuka sana
 
Kusema kweli Mimi Kama kijana na pia natafuta maisha ila Serikali iliwalea sana.

Huwezi kumlea mvunja sheria!

Serikali inabeba lawama kwa hili
 
Mlango mmoja unapofungwa mwingine ndio unafunguliwa angalia utafanya nini kuchunga afya ni kitu muhimu kuliko kupotea kiboya...

Umeongea kitu Muhimu sana na hapo ndio watafutaji wengi tunafeli kuendelea kung’ang’ania mambo ambayo kimsingi yameshindikana wakati unatakiwa ufungue ubongo utazame kwingine kuna nini
 
Machinga wa jiji la Mwanza fanyeni mambo kisomi, mkitumia nguvu mtakwama mapema!
Najua wengi mpo humu....Watafute wabunge wa majimbo ya Ilemela, na Nyamagana pamoja na madiwani wote....waambia bila kuwaonyesha wapi mkafanyie biashara wasahau kura zenu 2025 wasahau....mtafute Mbunge Msukuma Kasheku muombe ushauri wa kiufundi...
TAfuteni wagombea ubunge na madiwani walioondolewa au kushindwa kwa hila 2020 panga nao mbinu za kusamabaza chuki kwa Mabulas kuanzia kwa machinga , mama/baba Lishe.

Mwisho kuweni makini na viongozi wenu....karibia wananuliwa!
Hahahaha usije kuamini mwanasiasa.

Za kuambiwa Ongeza na zako!
 
Pole sana mkuu,hizi story huwa zinanisikitisha sana,yaani Kuna watu tumewapa kazi ya kuhudumia umma,lakini wameshindwa hawana majibu wanachofanya ni kufukuza wamachinga(vijana wasio na ajira rasmi),sasa unawafukuza wakapate kipato wapi?jamani !!
Katika ku hustle na maisha niliwahi Kufika Benk kuu kwa ajiri ya usaili wa kazi,nilichogundua watu wa serikali Hawajuhi magumu wanayopata wananchi wa kawaida.
Husaidiw kwa ugumu wa maisha uliyonayo ila kwa THAMANI uliyonayo
 
PGO hairuhusu mtu kupigwa wacha vijana wateme nyongo.

Kwani waliyempigia kura kwa ahadi hizi hawapo wanaoendeleza kazi?
Hiyo PGO mkajadiliane kijiweni, sisi mkiambiwa pisheni mkagoma mtapigwa tu! Na ninasema mpigwe tu!!
 
Back
Top Bottom