Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,

sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?

tukale nyumbani kwenu?

Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza

mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?

mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?

haiwezekani haiwezekani haiwezekani

jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi,

Jumatatu mkae kwa umakini Tuna jambo letu

Tumechoka upuuzi
Wacha ujinga bwana mdogo utageuzwa kama mbwa coco wa jela.....
 
Muongo wewe,,, wewe utakuwa wa kwanza kula choro...
 
Haki ya kufanya kazi haiambatani na kufanya kazi popote unapotaka, bali haki hiyo ya kufanya kazi lazima pia izingatie sheria na haki za wengine

Source : Mubashara Studio
 
John Heche - Serikali ya CCM inawahadaa vijana na ajira za umachinga, bodaboda na bajaj

John Heche Awaka Vikali Sakata La Wamachinga,serikali Imeshindwa kujenga fursa za vijana kujiajiri ktk sekta zingine zaidi ya umachinga na bodaboda, Imegeuza Mawazo Yao Kupambana Na Chadema Tu badala ya kutumia bongo kuongeza ajira za kujiajiri ktk uvuvi, ufugaji samaki , ufugaji ngombe wa kisasa wa mazima, kilimo cha kisasa cha mazao mbalimbali ili vijana waende huko kujiajiri

Mfano huko kanda ya ziwa kuna maeneo yana mafuriko ya maji ambapo serikali ingejenga skimu ya kilimo cha mpunga ambapo vijana wangeweza kuvuna mpunga mara tatu kwa mwaka na kutoa ajira rasmi za kujiajiri zaidi ya 300,000 badala ya kukimbizana na mgambo na polisi kwa kufanya kazi za umachinga, bodaboda na bajaj zinazokiuka mipango miji, kanuni na utaratibu wa usalama wa watumiayo barabara na vibaraza vya waendao kwa miguu na kuziba nyumba na maduka ya biashara
Source : mubashara studio
 
Mwendazake kaacha smetuaribia nchi kwa mambo yake ya kuweka pomposity kwenye uongozi wa nchi. Na haya Mambo itachukua muda hadi nchi kurudi kwenye utaratibu. Uonevu wa polisi,kubambikia kesi,suala la chanjo kusuasua na mengine mengi ni legacy ya mwendazake. Ngumu hii ya machinga. Ngoja tuone busara za viongozi tulionao ktk hili.
 
Wakipatikana wenyew akili za ki hamza Hamza.....

Hiyo j3 tutasikia New things.....ila watanzania ni wavumilivu....

Na rafik angu ana BAED ila anauza mitumba mbagala.....

Serikali imebadilisha mlango na funguo....

Hongera kwa wote wenye bahati Zao duniani......

Baba angu mzazi ali wai kunambia yeye hakuwai ku husler kweny maisha yake......

Vijana na ELIMU Zao za chuo kikuu wameamua KUA chinga still inawazuia bila kuwapa the way forward.......
 
Maneno matupu tu haya,mwaka jana kwenye uchaguzi kilichotokea mlijua wanaoadhibiwa ni wapinzani tu na nyie hayawahusu?

Sasa mtatoka na hamna kitu mtafanya na mkianza kuwa vibaka mitaani matairi yapo tutawakaanga.
Muda wa kuwabembeleza machinga umekwisha. Msijifanye mna haki kuliko raia wengine. Mmeweka biashara zenu barabarani hadi njia za watembea miguu! Mtahama tu maana aliyekuwa anawabembeleza yuko futi 6 chino ya ardhi!
 
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,

sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?

tukale nyumbani kwenu?

Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza

mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?

mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?

haiwezekani haiwezekani haiwezekani

jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi,

Jumatatu mkae kwa umakini Tuna jambo letu

Tumechoka upuuzi
02 October 2021

Kuna wanaoniangalia nilivyo wanasema huyu mwanamke hamna kitu - Rais Samia atoa onyo

Source : Bongo Sohami

N.B
Je huko Mwanza mtahama na kujipanga upya au mna lenu jambo sababu Rais Samia Suluhu Hassan yeye siyo Rais John Pombe Magufuli
 
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini.
Bila kusahau jasho na kodi zetu ndio zinawalipa hiyo mishahara.

Safi sana mkuu, pigeni kazi nchi ni ya kwetu sote hii.
 
Ila Mwanza jamani machinga mmezidi kuna ile barabara kuanzia dampo ukipanda nayo kuja huku liberty ni balaa yaani barabara imejaa nyanya ,viatu ,samaki,hoho na nguo halafu Sasa akipita mtu na gari machinga mnajikuta mna haki sana Hadi huwa najiuliza hii ni barabara au lilitengwa ni eneo la machinga? Wakati mwingine unakuta machinga wamejaa mbele ya duka la mtu Hadi duka halionekani yaani Kama sio mwenyeji unapita tu ukijua hamna duka hapo😄😄 machinga bwana.
 
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,

sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?

tukale nyumbani kwenu?

Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza

mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?

mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?

haiwezekani haiwezekani haiwezekani

jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi,

Jumatatu mkae kwa umakini Tuna jambo letu

Tumechoka upuuzi
Mkuu utachezea mijeledi mpaka akili ikukae sawa.
 
Back
Top Bottom