Inadaiwa kuna kundi fulani CCM linatamani Lissu ashinde ili wapate sababu ya kumpumzisha mtu wao

Je watanzania wamejiandaa kwa mabadiliko Oct. 2025? Sunami linalokuja si la kawaida!!
 
CCM hawana mtu mwingine il mama.
Mama kajijenga kwa miaka minne.
Atakaye kuja atakuwa mpya na kazi ya kujitngaza itakuwa kubwa na gharama mno.
 
Je watanzania wamejiandaa kwa mabadiliko Oct. 2025? Sunami linalokuja si la kawaida!!
Huwa hakuna kinachobadilika sana !
Watendaji wote utawakuta maofisini ni wale wale isipokuwa kule juu kabisa ambako wengi wetu Nchini hatufikagi kabisa kwenye hizo ofisi 😳!
 
CCM hawana mtu mwingine il mama.
Mama kajijenga kwa miaka minne.
Atakaye kuja atakuwa mpya na kazi ya kujitngaza itakuwa kubwa na gharama mno.
Watanzania hawahitaji mtu kujitangaza.
 
Huu uchaguzi wa chadema una impact kubwa ndani ya chadema yenyewe na ccm ongeza na vyama vingine. Hii ni TRIPPLE IMPACT. Lissu ashinde ili iwe somo rejea kwa vyama hivyo
 
Watanzania hawahitaji mtu kujitangaza.
Unakosea CCM hawahitaji mgombeya wawo ajitangaze.
Huwa wana mjuwa na wanajuwa nini kafanya.

Kwa hivyo hata kama hawajuwi jina la mgombea wakifika kweny kikao na kuambiwa kuwa huyu anagombea inatosha na watasikia akijinadi na wanajuwa kazi zake
 
Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…