Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
UmeonaeKiasi fulani mada ina mantiki!!!,lkn lisemwalo kama halipo basi laja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmeonaeKiasi fulani mada ina mantiki!!!,lkn lisemwalo kama halipo basi laja.
NI YEYE.2025 rais mpya mwanaume
Kutoka Chama gani ??2025 rais mpya mwanaume
NI YEYE.
CCM hawana mtu mwingine il mama.Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.
Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Huwa hakuna kinachobadilika sana !Je watanzania wamejiandaa kwa mabadiliko Oct. 2025? Sunami linalokuja si la kawaida!!
Kushinda uchaguzi na kua M/kitimbona anashinda njaa daily gentleman? mpaka akazira kwenda kumanga msosi kwa chairman taifa
ama unazungumzia nini 🐒
hiyo ni ndoto gentleman 🤣Kushinda uchaguzi na kua M/kiti
Sawahiyo ni ndoto gentleman 🤣
Unakosea CCM hawahitaji mgombeya wawo ajitangaze.Watanzania hawahitaji mtu kujitangaza.
MmhUnakosea CCM hawahitaji mgombeya wawo ajitangaze.
Huwa wana mjuwa na wanajuwa nini kafanya.
Kwa hivyo hata kama hawajuwi jina la mgombea wakifika kweny kikao na kuambiwa kuwa huyu anagombea inatosha na watasikia akijinadi na wanajuwa kazi zake
Ngoja tuoneJe watanzania wamejiandaa kwa mabadiliko Oct. 2025? Sunami linalokuja si la kawaida!!