Inadaiwa Lazaro hakufa bali alipewa dawa akalala usingizi mzito, baada ya saa 72 akaziduka huku Yesu akija na kudai kumfufua

SAWA. KUNA JINGINE TENA?
 
Mtu aliyelala usingizi kwa zaidi ya siku saba na kuoza, kama hakuwa amekufa kabla basi atakufa huko huko usingizini. Hawezi kuamka milele.
Kwanza kabisa hata huo usingizi wa siku saba huwezi kuthibitisha kwamba kalala, huko kuoza huwezi kuthibitisha kwamba kaoza.

Unarudia hadithi ulizopigiwa tu.
 

Sisi huwa hatutaki elimu ya dunia. So akitokea tu mtu akatuambia kitu tunabeba bila kutafakari. Hii tuliambiwa katika swala ya mchana na sheikh Kindungunda tuwaambie watu. Mi nliona ujinga.
 
Mirembee inakusubiri
 

Tumekusikia mkuu;

Utapewa kipaumbele katika ule mgao wa bikra 72.
 
Yule mwamba wa Nazareth alifanya vitu vikubwa ambavyo mpaka leo wanasayansi hawana majibu. Hii ni mifano michache:
1. Alifufua wafu na mwisho akajifufua na yeye!
2. Alitembea juu ya maji na akamwambia Petro atembee juu ya maji naye akatembea.
3. Aliponya magonjwa yaliyokosa tiba.
 
Yaani wewe wa leo ndio unajifanya unaweza kuthibitisha kulala, kufa au kuoza kwa mtu. Acha hizo, huo ni utoto.
Hapana,

Mimi nakwambia sisi wote wa leo hatuwezi kuthibitisha mtu wa miaka 2,000 iliyopita alikuwa amelala, amekufa au ameoza.

Quite the opposite.

Huelewi wapi?
 
Wakana Mungu wana hila sana huo uzushi siyo kwa Lazaro tu hata Yesu wanadai hakufa na hiyo hata leo wapo wanao amini hivyo.

mfano kuna andiko hili:
Mathayo 27

62 Hata siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, wakuu wa makuhani, na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato,
63 wakasema, Bwana, tumekumbuka kwamba yule mjanja alisema, alipokuwa akali hai, Baada ya siku tatu nitafufuka.
64 Basi amuru kwamba kaburi lilindwe salama hata siku ya tatu; wasije wanafunzi wake wakamwiba, na kuwaambia watu, Amefufuka katika wafu; na udanganyifu wa mwisho utapita ule wa kwanza.
65 Pilato akawaambia, Mna askari; nendeni mkalilinde salama kadiri mjuavyo.
66 Wakaenda, wakalilinda kaburi salama, kwa kulitia lile jiwe muhuri, pamoja na wale askari walinzi.

Na tazama, palikuwa na tetemeko kubwa la nchi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia.
Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama theluji.
Na kwa kumwogopa, wale walinzi wakatetemeka, wakawa kama wafu.

BAADA YA YESU KUFUFUKA NA ASKARI WALISHUHUDIA YOTE

11 Nao wale walipokuwa wakienda, tazama, baadhi ya askari waliingia mjini, wakawapasha wakuu wa makuhani habari za mambo yote yaliyotendeka.

12 Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi,
13 wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala.
14 Na neno hili likisikilikana kwa liwali, sisi tutasema naye, nanyi tutawaondolea wasiwasi.
15 Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Na neno hilo likaenea kati ya Wayahudi hata leo.
 
Madai hayo na mengine meengi kumhusu huyo jamaa ni mwendelezo wa kutafuta kick kupitia jina lake.

Wapo watu walikuja baada yake wakasisitia hakuwa na Uungi wowote isipokuwa mtume tu,yote aliyoyafanya hakufanya yeye isipokuwa alipewa ruhusa afanye.ajabu wao hata hiyo ruhusa walinyimwa.
 
Duuuh tusikufuru.
 
Kwanini alikuwa ananuka?
 
Hivi alivyofufuka alisema alikuwa wapi? Yani peponi au motoni?
Wayahudi hawaamini Moto na wao ukifa unabaki Kaburini Hadi siku ya Kiyama... So wao hawana mambo ya adhabu ya Kaburi.

Ndio maana Netanyahau kuwaondoa Magaidi hawazi
 
Stori za vijiweni kwenye Gahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…