Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Licha ya kuomba kuchangiwa kwa hali na mali na waTanzania, kwajili ya kununua gari jipya ya kufanyia shughuli zake binafsi za kisiasa, lakini pia pesa nyingine kwaajili ya matengenezo ya gari lake lililohusuka katika assassination attempt miaka kadhaa iliyopita pita, pamoja na mafuta, inasemekana
wadau, mashabiki, wakereketwa, wafuasi, wafanyabiashara na baadhi ya viongozi waandamizi na wasamaria wema ndani ya CCM wamejipanga, sio tu kumpiga Lissu jeki ya fedha, bali pia kumnunulia gari jipya, kubwa la kisasa litakaloendana na hali yake, lakini pia kulingana mazingira ya miundombinu ya barabara za Tanzania.
Je, haya ni miongoni mwa matunda, matokeo mafanikio chanya ya 4R theories alizobuni Rais Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha Taifa?
Una maoni gani kuhusu mustakabali wa siasa za Tanzania, ikiwa tetesi hii ni kweli na ikafanikiwa?
Pia soma: CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea