Pre GE2025 Inadaiwa Lissu atanunuliwa gari jipya na CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Una maoni gani kuhusu mustakabali wa siasa za Tanzania, ikiwa tetesi hii ni kweli na ikafanikiwa?
Kama kawaida, leo pia umeamka na kuaga mke na watoto kwamba unakwenda kazini; kumbe kazi yenyewe ndiyo hii ya kichizi! Kutwa nzima unajaza takataka tu kwenye jukwaa la JF.
 
Asilipokee Hilo gari lazima litawekwa sumu kupitia AC ili ikifika 2025 awe amekufa au mahututi asiye jiweza na hiyo ndiyo mbinu ilobaki kumuondolea uhai
 
Upinzani wa nchi hii, wamekosa aibu na hawana tofauti ya kibokoya wachawi.

Wanakupiga halafu wanakuchangia pesa.
 
your concern is on the table already πŸ’
Can you see how your ability using this language is limited? You are forced to write a response that is not related to the statement you are responding to!
 
Upinzani wa nchi hii, wamekosa aibu na hawana tofauti ya kibokoya wachawi.

Wanakupiga halafu wanakuchangia pesa.
Hebu ngoja. Wewe usiye kuwa kwenye upinzani, lakini unajulikana kuwa sehemu ya hao hao wanaofanya maovu, hata kama hii ni timu tofauti; unayo nafuu gani hasa!
 
Can you see how your ability using this language is limited? You are forced to write a response that is not related to the statement you are responding to!
I have done my part, and you teachers do yours πŸ’
 
Asilipokee Hilo gari lazima litawekwa sumu kupitia AC ili ikifika 2025 awe amekufa au mahututi asiye jiweza na hiyo ndiyo mbinu ilobaki kumuondolea uhai
kwan saivv anajiweza?
kuweni na huruma na utu jaman na mjiepushe na imani potofu na ushirikina πŸ’
 
Kama kawaida, leo pia umeamka na kuaga mke na watoto kwamba unakwenda kazini; kumbe kazi yenyewe ndiyo hii ya kichizi! Kutwa nzima unajaza takataka tu kwenye jukwaa la JF.
leo tena umechelewa kupata bando eee πŸ’
 
Huna tofauti na mtoa ushuzi karibu na jalala...wewe kila kitu kwako unaona ni fursa tuu.
 
Ndo mapinduzi pekee mliyobaki kufanya.
Mwambieni Abduli alete jipya kutoka Oman
ni 0 km,
kama ni kutoka Japan ama mwingine, hiyo sio issue but muungwana Lazima apatiwe ndinga mpyaaaaaa πŸ’
 
What the heck is this? I can't understand what you mean. Is this the language devils use?
I will pray for you again,
so that you are not confused with small small issues, okay?πŸ’
 
Usiwe na shaka, nipo hapa, niwe nimechelewa au nimewahi. Kazi yangu ni kupambana na shetani tu ambaye ndiyo wewe.
kazi za shift ukiingia tu ofisini unakabidhi simu kwa mlinzi na haina bando, mpka saa9, dah!πŸ’

nafikiria kuwasilisha hoja ya mabadiliko ya sheria ya kazi kwenye eneo la shifts na kupokonywa cm kazini, unaonaje hiyo gentleman πŸ’
 
Kazi yangu hapa JF ni moja tu sasa, kukabiliana na shetani toka kwa 'Chura Kiziwi'.
 
..mnunulieni tu.

..ila msije mkanyang'anya usafiri akianza kumbamiza Mama Abduli.
 
Devil worshipping is none of my business, I know you are aware of that.
you just relax,
wait and see how God's blessings are going to change your mindset and understanding capacity,

I'm praying for you now, just say Amen πŸ™ even without writing πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…