Mara ya mwisho ulishiriki zoezi la kuboresha anwani za makazi kule Mlowo. Hili la wewe kupata uteuzi sijalinyaka bado, changamoto yako ni shule ndogo tu. Nawaza umepewa nafasi gani hiyo? Ngoja nifuatilie, msalimie sana sister, ulimpambania sana kwenye zoezi la anwani za makazi.Naomba Moderator wakuchukulie hatua kali sana maana umedanganya. Wakutake uthibitishe taarifa hii
Kwani nyie chawa hamna rank? Mbona kuna mtu humu anakuita wewe chawa mwandamizi?Mimi sina cheo chochote kile ndani ya CCM
Wewe ni Muongo sana tena sana na Mzushi mkubwaLucas Mwashambwa kama mnakumbuka alijitambulisha anatoka maeneo ya mbozi mbeya huko na wakati anajifunza uchawa pengine kweli alikuwa huko ila baada ya kumulikwa na vyombo amepewa milleage na wasaidizi wa habari ndani ya uvmcc anapata ripoti popote duniani tena in a flash of an eye na picha halisi za tukio instantly so ni afisa habari wa chama hapa jamiiforum na mwenye wasaidizi lukuki chini ya ofisi ya patrice emiri nk.
Mleta uzi ni muongo sana.Duh,mbona kama unatutenga au unaogopa vizinga
Ova
Nakupenda sana ephen wanguu mpaka nashindwa kula Chakula.mimi kwako hoi na nipo tayari kukupa chochote kile utakachoBahili mtu mwenyewe! Na kunioa hataki🥲
Aisee, kumbe!Lucas mwashambwa apewa nafasi ccm ndio maana haweki namba siku hizi.
Labda awe ameongezewa kutoka kupewa ulfu 20 to 50kVyanzo vyangu vya kuaminika toka coridos of power vimenitonya mwanachama mtokwa machozi ya furaha pale anapotajwa kiongozi mkuu amepata teuzi huko ccm. Na ndio maana siku hizi ameacha kuweka namba Ila kwa maadili ya Jamiiforum siwezi kuweka hapa utambulisho wake.
Hongera comrade Lucas Mwashambwa kwa teuzi.
Mods msifute huu uzi.
Hapa ndipo mtego ulipo.Aisee ngoja na mimi nijizime data nianze kusifia na kuweka namba ya simu 😁
Focus baba focus babaIla kapambana haswa
Pamoja na matusi na kejeli ila jamaa alikuwa na nia moja tu UTEUZI 😄
CCM inaajiri watu duni sana!Vyanzo vyangu vya kuaminika toka coridos of power vimenitonya mwanachama mtokwa machozi ya furaha pale anapotajwa kiongozi mkuu amepata teuzi huko CCM.
Na ndio maana siku hizi ameacha kuweka namba Ila kwa maadili ya JamiiForums siwezi kuweka hapa utambulisho wake.
Hongera comrade Lucas Mwashambwa kwa teuzi.
[emoji7][emoji7]Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu
kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa
kiasili.
Unadhani hatukujui ndani ya CCM ? boss unajulikana tuMimi sina cheo chochote kile ndani ya CCM
Mbubujikwa huyoVyanzo vyangu vya kuaminika toka coridos of power vimenitonya mwanachama mtokwa machozi ya furaha pale anapotajwa kiongozi mkuu amepata teuzi huko CCM.
Na ndio maana siku hizi ameacha kuweka namba Ila kwa maadili ya JamiiForums siwezi kuweka hapa utambulisho wake.
Hongera comrade Lucas Mwashambwa kwa teuzi.