steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Ina maana kampiga bao hadi komredi @paschalmayala hadi akatangulia kupewa kitengo?Vyanzo vyangu vya kuaminika toka coridos of power vimenitonya mwanachama mtokwa machozi ya furaha pale anapotajwa kiongozi mkuu amepata teuzi huko CCM.
Na ndio maana siku hizi ameacha kuweka namba Ila kwa maadili ya JamiiForums siwezi kuweka hapa utambulisho wake.
Hongera comrade Lucas Mwashambwa kwa teuzi.