Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Source: VOA Radio.

Mtangazaji wa VOA Kgali anaripoti wanajeshi wengi wa SADC wametekwa na M 23 na kusafirishwa hadi Kigali.
Rais Kagame kaamuru wanajeshi wa SADC Warejeshwe makwao haraka. Inaripotiwa pia wanajeshi 800 wa SADC na Congo wameuliwa na M 23.

Wanajeshi wa SADC wanatoka Tanzania, Malawi na South Africa.

MYTAKE: Wasiwasi wa Kagame nadhani ana wasiwasi kuwashikilia Watanzania gerezani kunaweza kusababisha Tanzania kutuma kikosi kigali kuwakomboa Askari wa JWTZ.
 
Ni aibu kwa jeshi letu kuchezewa na wanyarwanda, hii ni sababu ya viongozi dhaifu kuliingiza jeshi kwenye siasa na kuwa dhaifu. Enzi za mwalimu jeshi letu lilikuwa imara sana na liliheshimika sana
 
Cc JK mitano tena
 
Hadi naona aibu. Tena kasema Watanzania hao wakileta ujuaji wa kutaka kurudi Congo watashughulikiwa kijeshi.
Ni aibu kwa jeshi letu kuchezewa na wanyarwanda, hii ni sababu ya viongozi dhaifu kuliingiza jeshi kwenye siasa na kuwa dhaifu. Enzi za mwalimu jeshi letu lilikuwa imara sana na liliheshimika sana
 
Nilisema kile Mrusi amemfanya German napata shida kama watakuwa na waziri mwanamke kwa miaka ijayo sijuwi
 
Hii habari imeandikwa na mvuta bangi au mnywa gongo
 
Kama ni kweli na Kgame ni murume kweli awashikilie done kilichomtoa Amin Uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…