Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Source: VOA Radio.
Mtangazaji wa VOA Kgali anaripoti wanajeshi wengi wa SADC wametekwa na M 23 na kusafirishwa hadi Kigali.
Rais Kagame kaamuru wanajeshi wa SADC Warejeshwe makwao haraka. Inaripotiwa pia wanajeshi 800 wa SADC na Congo wameuliwa na M 23.
Wanajeshi wa SADC wanatoka Tanzania, Malawi na South Africa.
MYTAKE: Wasiwasi wa Kagame nadhani ana wasiwasi kuwashikilia Watanzania gerezani kunaweza kusababisha Tanzania kutuma kikosi kigali kuwakomboa Askari wa JWTZ.