ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Bila kusahau ugali wa dona, kambale, mlenda, pilipili na maziwa mgando...Watajuana wrnyewe huko walipo sie tunaendelea kula wali maharage maisha yanaendelea
NakaziaWanaume wa kanda ya ziwa na misimamo yao VS Wanawake wa Singida na drama zao!
Lazima pangechimbika haya makabila huwezi kuwaweka pamoja km mke na mume
... William yupi kiongozi?Mkuu william anakuwa wa tatu kwenye hii rank
Umeandika nini sasa sistaa?Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣marehemu Said hakutaka ujanja ujanja kwenye ndoa,yaani unapiga simu mara 42 haipokelewi halafu usipigwe risasi 7 who are you ?
...huku ameshamjengea nyumba 3! Dah; omba Mungu yasikukute; tusimcheke Said.Said alishindwa kugundua penzi la uongo, la huyo demu tapeli hivyo mapenzi yalikuwa ya kibabebabe tu!
Saidi kazingua, kumbe alikuwa na mke mkubwa na watoto,Mwenye msiba ni mke mkubwa na watoto.
Wapo wanaofanya hvyo mwishowe wanaishia kujinyonga love Ina pain kinyamaMaamuzi magumu kwa kujiua..angemuacha huyo mwanamke bila kujali amemfanyia nini hapo angestahili hizo pongezi
Tunachangiaje speculation? Wote ni marehemu nani tumuulize anayeweza kuwasiliana nao waliko? Kwangu si habari.Habari za ndani kabisa zinasema:
1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa
2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa kwa SAID
3. Said alimjengea marehemu nyumba tatu na gari 2 plus kumfungulia biashara ya saluni.
4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.
5. Siku ya tukio kama mlivyo sikia wengi kulikuwa na : missed call 42, marehemu inasemekana alipotoka out alikuwa na ex husband wake .
CHANZO: AFRICANDADAZ BLOG
Aaaahhh kudadadeki kweli hapo njemba iliyumba kukubali kurudiana na huyo shetwaaiin wahed.Nasikia marehem alimsomesha pia Swalha bibie akamsaliti akaenda kuolewa na mwingine huko ndoa ikamshindwa akaanza kujirudisha kwa jamaa kwa kumuambia ananyanyaswa ndipo jamaa kumwambia achika huko nitakuoa mimi pamoja ulinisaliti kweli wakaoana mwisho bibie akarudi tena kwa ex wake wa mwanzo.
[emoji16][emoji16][emoji16]Watajuana wrnyewe huko walipo sie tunaendelea kula wali maharage maisha yanaendelea
Miss call 6 risasi moja,.... kila missed call 6 malipo yake ni risasi 1! Dah; jamaa alikuwa mwamba kweli kweli.
Daaa kumbe jamaa alimpokonya huyo demu kwa mshikaj wake? Hebu jazia nyama mkuu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]... baada ya Al Hamza anafuata huyu mwamba!
Shujaa ni Hamza aliyekuwa anapigania pesa huyo mjinga wa Mwanza anapigania papuchi wakati kuzipa ni rahisi tu.Kabisa, Hamza kwa ukanda wa Pwani na viunga vyake na Said kwa upande wa kanda ya ziwa.
[emoji16][emoji16][emoji16]marehemu Said hakutaka ujanja ujanja kwenye ndoa,yaani unapiga simu mara 42 haipokelewi halafu usipigwe risasi 7 who are you ?
Hahitaji Pole, amepumzika sasa!Pole zake Sana