Tetesi: Inadaiwa Mdude Nyagali kaletwa Dar jana Usiku, hali yake ni mbaya


Ila mmoja anavunja Sheria Kwa kulindwa Na Sheria,only in Tz wawezatembea Bila plate no
 
Tufunge na kuomba kuombea Nchi yetu..viongozi wa dini hasa kanisa kuweni makini na watu mnaoruhusu wasimame madhabahuni..Madhabahu sio sehemu ya kuchezea

Viongozi wa dini ni sauti ya wanaonewa ila wamekuwa wanafiki sana Kwa kutokuishi Kwa misingi ya dini,wanamwabudu MTU bala ya Jehovah's
 
Wpi nimesema mtu wa hivyo atekwe?

Maudhui ya ujumbe wako wa awali yameonesha hivyo!

Na umenishangaza sana, nilizani wewe unaeonekana kama mtu wa imani ulipaswa kusimama kwenye haki na siyo vinginevyo !
 
Nayakumbuka maneno yako Zitto Zuberi kabwe kuwa Nchi imekabidhiwa washamba. Washamba watatuua kwakuwa ni washamba mjini hawapajui.
 
Serikali zoote duniani huwa na tabia ya kuwa na mkono mrefu,hivyo tuwe na SUBRA watatiwa mbaroni tu iwe mvua iwe jua.
 
Unapelekaje taarifa polisi wakati polisi pia Ni watuhumiwa? Tafakari
kama umeweza kujua yuko wapi si ukaripoti polisi mbona mnachukulia vitu kirahisi hivyo toa taarifa afuatiliwe aliye mchukua
 
Maudhui ya ujumbe wako wa awali yameonesha hivyo!

Na umenishangaza sana, nilizani wewe unaeonekana kama mtu wa imani ulipaswa kusimama kwenye haki na siyo vinginevyo !
Imani yangu inanikataza kuwatukana viongozi.

Imani yangu inanikataza kuwatetea watekaji.

Kwa sababu hayo yote ni makosa kwa upande wa dini yangu ndo mana sioni tofauti ya mtekwaji na mtekaji wote sawa.hivyo aliyetekwa ni mtovu wa sheria na mtekaji pia ni mtovu wa sheria.

Siwezi kumtetea mtekwaji alafu nikamshambualia mtekaji,dini yangu hainifunzi hivyo.

Hao wote ni watu wanamakosa n warajuana wenyewe.

Simsikitikii huyo mdude wala siwasikitikii hao watekaji kwa sababu wote hao wana daraja moja kwangu mimi kutokana na makosa yao.

Labda dini yako inakufundisha kubagua bagua makosa na kuwatetea wenye makosa baadhi alafu wazowee kutetewa mwiaho nao waje kuwa wafanya makosa makubwa makubwaa
 
Ila mmoja anavunja Sheria Kwa kulindwa Na Sheria,only in Tz wawezatembea Bila plate no
Sheria inaruhusu gari kutembea bila plate namba?

Sheria ipi ambayo imeruhusu ili tujue kama sheria inawalinda na kuwatambua wanaotembea na magari yasiyokuwa na plate namba?
 

Kifupi nimekusoma kwamba unauma na kupuliza!

Hapo kinachotakiwa ni kitu kimoja tu kama mtu amepatikana na tuhuma sheria inataka apelekwe mahakamani na ushahidi ikiwa atapatikana na hatia atapewa adhabu stahiki.

Kama Jamhuri tumejikewea utaratibu huo tunapaswa kuufata na viongozi wanaapa kwa vitabu vitakatifu kwamba watazingatia Katiba inavyosema.

Mungu ni Mkubwa sana kuliko tunavyoweza kumsoma kwenye Maandi Matakatifu na kumwamini.
 
Mimi nakuambia ukweli ambao hata mwenyewe umeuona.

Kumhurumia mtu ambaye yeye hana huruma na wenzake kwa kuwatukana matusi tena viongozi huruma hiyo sina kabisa.

Lakini kumhurumia mtekaji ambaye anawateka watu watukanaji huruma hiyo sina kabisa lakini bahati mbaya hatujui kama kutekwa kwake kumetokana na matusi yake.

Wote kwa upande wangu ni wahalifu ambao siwezi kuwabagua.imami yanguninaheshimu hadhi na heshima ya mtu.

Imani yangu inakataza kuvunjiana heshima kama aambavyo jamaa amefanya.imani yangu inakataza watu kuuwana na kutekana kama ambavyo jamaa kafanyiwa.

Mimi sionia kama kuna haja ya kumhurumia yeyote hapo kwa sababu huwenda watekaji wamekueka shria kwa ajili ya kumtia adabu mkeukaji sheria wa mwanzo(mtukanaji)au kuna jambo lingine.

Lakini yote kwa yote sitlkaa nimhurumie yeyote kati ya hao wahalifu wawili.wote kwangu sawa,lakini kila mmoja kavunja sheria kwa wakati wake.
 

Bado kuna mahala unamumunya maneno!

Hili jambo ni baya sana, hata wawekezaji wakijua kuna hali ya watu kutekwa huenda isilete picha nzuri!

Halafu naona wameleta swala la Gwajima kupumbaza watu waache kufuatilia swala la utakwaji watu.
 
Bado kuna mahala unamumunya maneno!

Hili jambo ni baya sana, hata wawekezaji wakijua kuna hali ya watu kutekwa huenda isilete picha nzuri!

Halafu naona wameleta swala la Gwajima kupumbaza watu waache kufuatilia swala la utakwaji watu.
ndugu sidhani kama muwekezaji anaweza kushindwa kuwekeza baada ya kusikia mtu kaazibiwa kwa kosa la kutukana huyo kijana hafai anadharirisha mamlaka ya nchi akipatikana ashitakiwe kabisa
 
Hata ununio pia!
 
Bado kuna mahala unamumunya maneno!

Hili jambo ni baya sana, hata wawekezaji wakijua kuna hali ya watu kutekwa huenda isilete picha nzuri!

Halafu naona wameleta swala la Gwajima kupumbaza watu waache kufuatilia swala la utakwaji watu.
Ahhahahhah eti suala la gwajima.

Mimi simung'unyi maneno mkuu naongea kilicho moyoni mwangu.
Sina huzuni wala furaha nipo kama zamani.

Huzuni niliyoipta kwa kuona matusi ya mshikaji akiwatukana wahusika basi ndio huzuni hiyo hiyo ambayk niliipata kuskia jamaa katekwa.

Sijaona kwamba kafanyiwa kubwa mnooo ambalo linastahiki kupigiwa kelele wakati na yeyr alikuwa ni mtukanaji mkubwa tena matusi ambayo ukimuambia mtu haya anayetukanwa ni mkuu wa Nchi hawezi amini.

Wote ni wahalifu,waliyemteka ni mhalifu mwenzao.

Kama yeye alionyesha ubabe wa mitandao kwa kufanya uhalifu wa kutukana.
Basi nawatu wanaonyeaha ubabe wao kwa kumteka na kumtia adabu huko aliko.

Kama ambavyo hakukuwa na sababu ya yeye kutukana bali angeongea uhalisia tu.

Basi na hao watekaji nadhani hawana sababu ya kumteka huyo mtu wangesema wazi tatizo nini.

Wote kwangu wako level moja.
Kila mmoja amejaribu kuonesha umwamba wake ila huyu mmoja kaonyesha kwenye mtandao na mwingine kafanya vitendo.
 
ndugu sidhani kama muwekezaji anaweza kushindwa kuwekeza baada ya kusikia mtu kaazibiwa kwa kosa la kutukana huyo kijana hafai anadharirisha mamlaka ya nchi akipatikana ashitakiwe kabisa
Hao waliomkamata ikitokea wakamuachia basi haitokuwa ni excuse kwake kwamba aachiwe.

Hatujui waliomkamata wamemkamata kwa kosa gani,huwenda kajiteka ili akijitokeza iwe rahisi kwake kujivua na kosa la matusi ambalo linamkabili.

Hivyo rai yangu akikamatwa au akionekana basi ashtakiwe kabisaaa.

Wanaosema serikali imemteka huwenda wanatumia upenyo huo kijanja ili akionekana aachiwe huru kwa sababu alikuwa katika kutekwa.hapana AKATIWE ADABU NA SHERIA ZA NCHI..

SERIKALI MKIMUONA MTIENI ADABU KABISA.
Nchi haiwezi kuwa na wahuni kama hawa alafu unasema ni mwana harakati ambae anaongoza watu.

Huyu mtu akishika nyadhifa za juu wawekezaji watakuja kweli kutokana na historia yake ya maneno machafu kama haya?
 
Na jpili kuna kusimikwa Askofu mpya wa Jimbo kuu la Mwanza,lkn utaona wako mbele wanaomba waombewe!!!!!
na wengine kila siku kuziibia saccos zao lakini jumapili ndio watoa sadaka wakubwa na kuimba Yesu na Maria, na kupiga nyimbo za kilokole sehemu zao za Bishara lakini ndio wauza ngada wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…