Jawabu ni kosa kishera.
Ndo mana mimi nasema kwamba sifurahii wala sihuzuniki kwa tukio hili kwa sababu ALIYETEKWA N MHALIFU WA MITANDAONI NA MTEKAJI PIA NI MHALIFU AMBAE kisheria anafanya makosa.
Kwa hyo wote ni wahalifu wameenda wanakokujua wao,mtekwaji amekeuka sheria na mtekaji amekeuka sheria.
Kama kuwalaumu wote walamiwe.kama kutetewa wote watetewe.
Aliyeteka sijui malengo yake na wala sina uhakika kwa nini katekwa.kwa sababu kama tunakubaliana kuna ambao hawakutukana na wametekwa kwa nini niseme na niamini kwamba huyu aliyetekwa katekwa kwa sababu ya kutukana wakati kuna ambao hawatukani na wanatekwa kama ambavyo mnasema?
Kwa hiyo wote ni wavunja sheria tu sioni haja ya kumuonea huruma mmoja na mwingine kutomhurumia.
Ila mmoja anavunja Sheria Kwa kulindwa Na Sheria,only in Tz wawezatembea Bila plate no