Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
🤣🤣🤣nafsi inamsuta usingizi hapatiHii taarifa imemuibua Sirro kwenda kuhojiwa ITV Dk 45.
Unganisheni nukta kujitokeza kwa Balozi Sirro kujibu hoja za waliopotea alipokuwa IGP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣nafsi inamsuta usingizi hapatiHii taarifa imemuibua Sirro kwenda kuhojiwa ITV Dk 45.
Unganisheni nukta kujitokeza kwa Balozi Sirro kujibu hoja za waliopotea alipokuwa IGP
Na hii nchi Kwa sababu Ina wajinga wengi hilo hawalijui.Unsure! However, all regimes, everywhere in the world, neutralise all deemed threats to nation's interests.
Inahitaji ujasiri kuongea alichosema kwenye TV.🤣🤣🤣nafsi inamsuta usingizi hapati
Mkuu mwili wake mliuzika wapi? Maana wewe ndio ulikua mtu wa mwisho kumpa warning ya kwamba atapotezwa..Dam inanuka utawala wa Tano tu? Nadhani hamjuwi na mnataka kujuwa ila kwa kuwasaidia anzeni kuondoa haki ya viongozi wakuu kutoshitakiwa ili Taifa linuke harufu mbaya ya dam na dhuluma tangu kuanza kwa misingi ya Taifa hili. Kama kuna Rais hajamwaga dam basi awe wakwanza msemea vibaya Magufuli. Kama Kuna kiongozi team yake haijatoa watu roho awe wakwanza kunyoosha mkono kwa Magufuli... Kama Taifa hili halijanuka uvundo wa ajabu.
Kiufupi yeyote anaye hangaika na Magufuli basi haujuwi mfumo na kama anajuwa amefunga macho kutaka iondoa amani yetu.
Hayati Mandela akakumbuka maovu ya kutafuta uhuru wa SA akasema tupatane mapatano ambayo yalimfanya kumuacha mke wake kipenzi. Why dam dam dam. Jamani tuachane na haya Magufuli hayupo kama alitenda kwa haki au kwa dhuluma Mungu ndie muamuzi wa yote. Ila tujifunze pale tumekosea yasijirudie. Wakati haya Magufuli hajaoza wapo watu wanafanya Yale Yale kwa kificho cha Uzalendo. God have a meryon Us God have a Mercy on president of this republic it is not easy job.
He doesn't care anymoreInahitaji ujasiri kuongea alichosema kwenye TV.
Mnamfanya Mungu kama binamu yenu eeh?God have a meryon Us God have a Mercy on president of this republic it is not easy job.
😡Dam inanuka utawala wa Tano tu? Nadhani hamjuwi na mnataka kujuwa ila kwa kuwasaidia anzeni kuondoa haki ya viongozi wakuu kutoshitakiwa ili Taifa linuke harufu mbaya ya dam na dhuluma tangu kuanza kwa misingi ya Taifa hili. Kama kuna Rais hajamwaga dam basi awe wakwanza msemea vibaya Magufuli. Kama Kuna kiongozi team yake haijatoa watu roho awe wakwanza kunyoosha mkono kwa Magufuli... Kama Taifa hili halijanuka uvundo wa ajabu.
Kiufupi yeyote anaye hangaika na Magufuli basi haujuwi mfumo na kama anajuwa amefunga macho kutaka iondoa amani yetu.
Hayati Mandela akakumbuka maovu ya kutafuta uhuru wa SA akasema tupatane mapatano ambayo yalimfanya kumuacha mke wake kipenzi. Why dam dam dam. Jamani tuachane na haya Magufuli hayupo kama alitenda kwa haki au kwa dhuluma Mungu ndie muamuzi wa yote. Ila tujifunze pale tumekosea yasijirudie. Wakati haya Magufuli hajaoza wapo watu wanafanya Yale Yale kwa kificho cha Uzalendo. God have a meryon Us God have a Mercy on president of this republic it is not easy job.
Acha tu mkuu, watu wabaya sanaMkuu pole sana, nini kilimtokea mama yako?
Aliuawa kikatili mno na mpaka leo hakuna kinachoendelea.Mkuu pole sana, nini kilimtokea mama yako?
Sasa wote wanahalalika huko na kwakuwa hamna protection ni mijigumi huko wanapigana ni hatari.Kifo cha Ben saanane ni HALALI.
Better late than never.Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.
Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.
Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
Ni Magufuli kwani huelewi?Kwa nchi gani ya kuharibiwa? Mbona tunataka kuaminishana kuwa matatizo ya nchi hii ni Magufuli tu?
Haya Magufuli sasa hivi hayupo na matatizo ya hii nchi yote yameondoka maana yeye ndio alikuwa matatizo ya hii nchi.Ni Magufuli kwani huelewi?
Ni kweli yameondoka. Hakuna mtu ananyang'anywa fedha, hakuna mtu anauliwa bila sababu na amani na demokrasia imetamalaki nchiniHaya Magufuli sasa hivi hayupo na matatizo ya hii nchi yote yameondoka maana yeye ndio alikuwa matatizo ya hii nchi.
Tunaambiwa hata MO na Roma walitekwa na wabaya wa serikali ili kumchafua JPM.Mbowe amewahi kumtafuta Ben?
Hakutakuwa Jipya lolote amini hiloKupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.
Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.
Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
Unadhani sasa kuna ulazima wa katiba mpya ikiwa kila kitu kinaenda sawa?Ni kweli yameondoka. Hakuna mtu ananyang'anywa fedha, hakuna mtu anauliwa bila sababu na amani na demokrasia imetamalaki nchini
Katiba nzuri tunaihitaji ikiwa ni pamoja na elimu ya katiba kwa wananchiUnadhani sasa kuna ulazima wa katiba mpya ikiwa kila kitu kinaenda sawa?
Sasa mbona hiyo "Mtasikia hivi karibuni" imekuwa siyo karibuni?Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.