Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

Mkuu mwili wake mliuzika wapi? Maana wewe ndio ulikua mtu wa mwisho kumpa warning ya kwamba atapotezwa..

Embu tupe dondoo walau Roho zetu zitulie maana Bado Zina majonzi ya kumpoteza Ben Saanane PhD!
 
😡
 
JPM
Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania
2015-2021

Watu wanasahau hiki cheo adhimu Cha kikatiba

Kumdhalilisha Amiri Jeshi Mkuu, ni kulidhalilisha Jeshi la Wananchi Tanzania!

Ben amevuna alichopanda!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Better late than never.
Tunasubiri kwa utulivu matokeo ya 'uchunguzi '
 
Haya Magufuli sasa hivi hayupo na matatizo ya hii nchi yote yameondoka maana yeye ndio alikuwa matatizo ya hii nchi.
Ni kweli yameondoka. Hakuna mtu ananyang'anywa fedha, hakuna mtu anauliwa bila sababu na amani na demokrasia imetamalaki nchini
 
Hakutakuwa Jipya lolote amini hilo
 
Ni kweli yameondoka. Hakuna mtu ananyang'anywa fedha, hakuna mtu anauliwa bila sababu na amani na demokrasia imetamalaki nchini
Unadhani sasa kuna ulazima wa katiba mpya ikiwa kila kitu kinaenda sawa?
 
Sasa mbona hiyo "Mtasikia hivi karibuni" imekuwa siyo karibuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…