Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

Mshauri mkuu wa rais ni makamu wake. Hata leo Mpango hawezi kukwepa anayoyafanya Samia kwa kuteua watu wa dinni moja. Rejea mawaziri watano toka mkoa mmoja wa Tanga huku mawaziri wawili toka mikoa ya Mwanza Mara Simiyu Shinyanga na Kagera.

Vivyo hivyo aliyekuwa makamu kipindi cha JPM ashughulikiwe.

Sijui alikuwa nani na ni nani sasa hivi
 
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.

Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.

Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.

Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
Mkuu umepotea sana....

Hii taarifa MUHIMU imekuja kwa wakati
 
Sisi jpm tulimpa go ya hata kuua kwa sababu alikuwa mzalendo na mzalendo ana ua wahuni tu wa taifa ...sasa mtu kama msoga angeuliwa wote tunge furahi sana ....siyo kila mtu ana stailik kuishi.
 
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.

Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.

Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.

Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.

Yaani katika mambo ambayo BASHITE na MAKENZI waliyofanya moja wapo baya ni hili la KUMPOTEZA Ben saanane na la pili la Kumchapa Lissu risasi hadharani mchana kweupe....Wameacha Traces waziwazi ambayo ni MBAYA sana.
 
Kuna kipindi Mwigulu alikua waziri wa Mambo ya ndani. Ikapatikana miili ya watu mto Ruvu maeneo ya bagamoyo. Waziri yule bila uchunguzi Wala nini alituambia miili Ile Ni wahamiaji haramu. Labda Kuna kitu anakijua kuhusu miili iliyokua inaokotwa in those dark days.
 
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.

Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.

Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.

Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
Matukio yote ya jinai, kama mauaji, utekaji watu, kuwapoteza watu, hata kama hayatawekwa wazi leo, kuna siku yatawekwa wazi yote.

Mauji yaliyofanywa wakati wa utawala wa dikteta Rais Stallin, Rais wa Urusi aliyesifiwa sana wakati wa uhai wake, na baada ya kifo chake inasemwa kuwa ndiyo msiba uliohudhuriwa na watu wengi zaidi kuliko msiba mwingine wowote Duniani, na ambaye wakati wa utoaji wa heshima za mwisho, watu zaidi ya 2,000 walikufa kwa kukanyagana, na ambaye iliamriwa asizikqe ardhini, baada ya miaka 13 ndipo ilipotolewa taarifa rasmi ya maovu yaliyokuwa yamefanywa wakati wa utawala wake, na kutajwa kuwa watu wasiojulikana walikuwa wamefanya mauji ya warusi wapatao milioni 2, ndipo alipotangazwa kuwa alikuwa kiongozi dikteta, na mwili wake ukaondolewa ulipokuwa umehifadhiwa, na kwenda kutupwa kusikojulikana.
 
Mbowe amewahi kumtafuta Ben?

Kubenea alisema alimuona Ben pahala anasoma magazeti, ni pahala gani hapo?

Mzee Mgaya yaani wakizungumzia ben lazima umuingize kubenea ,kumbuka wazazi wa ben machozi wanayatoka kila mara na wewe unaendeleza utani wa kubenea.......Kubenea aliandika kama Mwanaharakati Huru(Musiba) alivyokuwa anaandika.
 
Back
Top Bottom