Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

Aliyetoa machine ni nani? Nini hakijarudi?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Mkuu unakichwa kizito Sana,mtu atoe machine isirudi na huyo mtu ilietolewa machine hajulikani alipo Hadi leo na hakuna kesi iliyoendelea,.hiyo machine una dhani ilitolewa na nan mkuu..inawezekana ni mkuu wa wilaya tu wa kipind iko.
 
Mshauri mkuu wa rais ni makamu wake. Hata leo Mpango hawezi kukwepa anayoyafanya Samia kwa kuteua watu wa dinni moja. Rejea mawaziri watano toka mkoa mmoja wa Tanga huku mawaziri wawili toka mikoa ya Mwanza Mara Simiyu Shinyanga na Kagera.

Vivyo hivyo aliyekuwa makamu kipindi cha JPM ashughulikiwe.

Sijui alikuwa nani na ni nani sasa hivi
Katiba yetu hairuhusu huyo aliyekuwa Makamu kushughutikiwa.
 
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.

Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.

Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.

Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
kwa hiyo na bashite atahojiwa kwenye uchunguzi huo au?
 
Mzee Mgaya yaani wakizungumzia ben lazima umuingize kubenea ,kumbuka wazazi wa ben machozi wanayatoka kila mara na wewe unaendeleza utani wa kubenea.......Kubenea aliandika kama Mwanaharakati Huru(Musiba) alivyokuwa anaandika.
Kumbuka Kubenea alisema haya akiwa Chadema tena ni mbunge

Kwa tunaomfahamu Kubenea tulielewa wazi hatanii ila anafikisha ujumbe
 
Mbowe aliko mavi yanagonga chupi
Mmmh! Can He be the main masterminder of Ben's murder?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app

Mbowe angehusika hata kama kwa size ya punje kama ya haladari basi kwa kipindi kile walivyokuwa wanamtafuta angekuwa ndani kwa kesi ya mauaji ,kwakuwa mnajua ninyi ndiyo mlikatisha miasha ya Ben ndiyo maana mnaleta utani utani.

Yakitokea mauaji yeyote kama serikali haihusiki basi ndani ya week tu wanakuwa washampata muuaji ila ukiona kimya basi ujue "kazi yao hiyo" ,Milembe na Dr wa Tarime wameuawa usiku wa maanani ,hakukuwa na mtu mwingine zaidi ya wauaji lakini serikali ishawapata waliotekeleza mauaji ila kwa Lissu ambaye alipigwa risasi ndani ya compound yenye ulinzi wa hatari mchana kweupe lakin hakuna aliyekamatwa....Yaani hapo jeshi limejipaka matope kwa udhaifu ili wawalinde kina BASHITE na MAKENZI.
 
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.

Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.

Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.

Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
Kila Ubaya utalipwa

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Speculations!
 
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.

Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.

Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.

Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
Duh! MUENDAZAKE HAJAENDA NA ZAKE
img_die%20once.jpg
 
Saanane tu? Vipi waislamu waliopotea kwa kusingiziwa ugaidi hewa? Vipi ishu ya Azory gwanda?
 
Si alipigwa chuma na bwana mkubwa kwa baahat mbaya.(corridor za umbeya)

Naambiwa toka lile tukio mwamba hakuwah kuwa Sawa had maut yanamkuta.

Kwahiyo uchunguzi sijui utakuwa kwa ajili ya nini.
Kwa bahati mbaya kivipi mkuu[emoji848] yaani yeye mwenyewe kwa mikono yake!!? Au bwana mkubwa yupi huyo unaemzungumzia!!?
 
Back
Top Bottom