Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.
Vita ya chatu na king Cobra wote wanakufa.

Vita ya nungunungu na chui wote wana danji. Sasa nimemaliza kuandika.

Mwenye masikio asikie mwenye pamba atie pamba. Nchi ngumu hii.
 
Nyie mnaona nchi imetulia kama maji ya mtungi mnafikiri imetulia hivi hivi....!

Kuna watu hawalali kwa ajili ya kulinda amani ya Nchi na watu wake.

Tuheshimu Amani tulionayo kuliko kujiingiza kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.​
Hakika 100%! Kwanza Ben lugha aliyokuwa akiitumia ilikuwa ya kidhalilishaji, na mbovu sana. Hakuwa na adabu kwa mtu mwenye rika la kumzaa, kama haitoshi Rais wa nchi.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.

Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.

Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.

Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
Yangu macho
 
Nilipewa stori kuwa mwamba mwenyewe alichomoa chuma akamuwasha kisha akaagiza mwili ukatupwe
Duh! Ile ngoma hatari! Hivyo ni kazi ya mikono yake yeye mwenyewe! Alimuudhi nini kiasi hicho!!? Na matukio kama hayo ni hilo hilo moja alilotumia mkono wake yeye mwenyewe au kuna mwingine
 
Hida Newton alisema katumwa na Mwenyekiti Afrika kusini,vipi alirudi?

Hilda alijichanganya na ndiyo alichangia delay kama ya week mbili hivi wakasita kumtafuta baada ya Hilda Kusema alisema kwamba ana mpango wa kusafiri ila baada ya kujiongeza kuangalia kwenye OUTLETS hakuna sehemu yeyote iliyoonyesha Ben alipita ndipo wakastuka kwamba jamaa hajasafiri ila katekwa ndiyo wakaanza kampeni ya kumtafuta.
 
Sisi jpm tulimpa go ya hata kuua kwa sababu alikuwa mzalendo na mzalendo ana ua wahuni tu wa taifa ...sasa mtu kama msoga angeuliwa wote tunge furahi sana ....siyo kila mtu ana stailik kuishi.
You are a very big wild dog
 
U
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.

Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.

Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.

Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
Chunguzi wa nini wakati mshirika mkubwa wa Magufuli katika mauaji, Paul Makonda, akiwa uraiani na kula Bata?
 
Nilipewa stori kuwa mwamba mwenyewe alichomoa chuma akamuwasha kisha akaagiza mwili ukatupwe
Kwa kisa gan had iwe hivyo? Kwa yale matukano yake kwenye PhD? Hivi hata km niww umetukanwa unaweza kufikia kufanya ujuha wa hivyo mkuu au wanahamisha magoli ya ufipa
 
Back
Top Bottom