Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
This is not necessarily, CinC akisha staafu, hawezi kujua the clandestine opps za the current regime, umeandika as if wastaafu wanajua what happened to Ben ila wanakwepa kuzungumzia, nipe mfano hata mmoja tuu wa kiongozi yoyote kuwahi kuzungumzia au kujadili jambo lolote la mtangulizi wake au tukio lolote la wale jamaa zetu?.Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia
na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli.
tawala zote duniani zinafanya mazuri na mabaya/maovu, kama ni kweli ni yeye alihusika, then karma has already took its toll, nakuhakikishia there is no one atathubutu kuhoji hivyo hakuna uchunguzi wowote!.Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.
Kama tukio la shambulizi la Lissu, lililo fanyika mchana kweupe, huku CCTV ikirekodi, hakuna uchunguzi, itakuwa la Ben who just vanished into the thin air?!.
P