Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

Ukisikia top secret ndio hizo. Na huwa zinatoleaa tu regime ikibadilika kutoka chama tawala hadi wapinzani au nchi ikiahikiliwa kijeshi. Bado sijaona mtu wa kuweka wazi ripoti hiyo kwa sasa kama itamgusa top leader. Na ikiwekwa pengine itakuwa imechezewa kuficha ukweli
 
Ungemfunga vipi Mbowe bila ushahidi?
Mbowe angehusika hata kama kwa size ya punje kama ya haladari basi kwa kipindi kile walivyokuwa wanamtafuta angekuwa ndani kwa kesi ya mauaji ,kwakuwa mnajua ninyi ndiyo mlikatisha miasha ya Ben ndiyo maana mnaleta utani utani.

Yakitokea mauaji yeyote kama serikali haihusiki basi ndani ya week tu wanakuwa washampata muuaji ila ukiona kimya basi ujue "kazi yao hiyo" ,Milembe na Dr wa Tarime wameuawa usiku wa maanani ,hakukuwa na mtu mwingine zaidi ya wauaji lakini serikali ishawapata waliotekeleza mauaji ila kwa Lissu ambaye alipigwa risasi ndani ya compound yenye ulinzi wa hatari mchana kweupe lakin hakuna aliyekamatwa....Yaani hapo jeshi limejipaka matope kwa udhaifu ili wawalinde kina BASHITE na MAKENZI.
 
Ungemfunga vipi Mbowe bila ushahidi?

Nimesema kama Mbowe angehusika na kifo cha Ben(Kama yuvisisiemu wanayosema) basi angekuwa ashakamatwa ,hauwezi kufanya jambo kubwa la mauaji bila kuacha trace.

Bashite aliwasiliana na Ben na wakawa na mpango wa kukutana baada ya siku mbili kabla ya meeting akapotea.

Kuna namba ya voda ilimwambia Bensaanane kwamba aache kumtusi JIWE ikamsisitiza kwamba hes too young to die ,ikamwambia akiendelea ipo siku atajikuta mbele ya Chatu peke yake...ile namba haijawahi kuchunguzwa hata mara moja.
 
Mama hawezi achia hii ripot.atachofanya ataiomba msamaha familia kimya kimya .Na kuilipa fidia .report itatumika kama ushahidi wa kutoa hela ya serikali tu.lakini kwa ukubwa wa cheo cha rais anajua 100% juu ya mbwa ya chato kumuua huyu kijana kwa kuhoji phd yake
Mambo mengine ni ya kujitakia, sasa yeye alikuwa anahiji PhD ya bwana mkubwa ili iweje?
 
Watu wana-sacrifice maisha yao hili kulinda maslahi ya nchi, alafu wewe from nowhere unachezea Amani ya Nchi.

Sawa sawa, fyekelea mbali sio kwa ubaya bali kwa uzuri kwa kulinda maslahi mapana ya Taifa na watu wake.
 
Nimesema kama Mbowe angehusika na kifo cha Ben(Kama yuvisisiemu wanayosema) basi angekuwa ashakamatwa ,hauwezi kufanya jambo kubwa la mauaji bila kuacha trace.

Bashite aliwasiliana na Ben na wakawa na mpango wa kukutana baada ya siku mbili kabla ya meeting akapotea.

Kuna namba ya voda ilimwambia Bensaanane kwamba aache kumtusi JIWE ikamsisitiza kwamba hes too young to die ,ikamwambia akiendelea ipo siku atajikuta mbele ya Chatu peke yake...ile namba haijawahi kuchunguzwa hata mara moja.
Hida Newton alisema katumwa na Mwenyekiti Afrika kusini,vipi alirudi?
 
Sasa mtu Raisi wa Nchi wewe unaanza kumtaka na kubishana naye kama mtoto mdogo, kwenye magezeti na mitandao ya kijamii unategemea nini?
Mkubwa wako akakuonya bado unaendelea kushupaza shingo....!

What's next.....?
Tuishi kwa akili na mipaka mambo mengine tunajitakia wenyewe..!
 
Aliyeua kwa upanga naye leo hayupo. Asante Mungu (au wanadamu wenye walioingia kati) kwa kutuondolea mbali lile dubwasha lililoitwa JPM.

Kwangu 17 March,2021 ilikuwa siku ya furaha sana na itabaki hivyo milele.
Aaah mtoto wa laymaa...unajua mshua wko ndie huyo?
 
Hana pa kukimbilia.. Ukishawekwa kwenye black board ya US jicho lao kwako ni 24/7
Yeah ,ukishakuwa kwenye list ya mu yu esi ei wakikuhitaji muda wowote utapatikana .. na huenda ni kweli huyu bashite kahusika direct or indirect kwenye mambo Fulani Fulani ya kudhulumu uhai au kumwaga damu za watu fulani Fulani 🤔. Mwanzoni nilidhani tu ni propaganda za kisiasa kumchafua
 
Nyie mnaona nchi imetulia kama maji ya mtungi mnafikiri imetulia hivi hivi.

Kuna watu hawalali kwa ajili ya kulinda amani ya Nchi na watu wake.

Tuheshimu Amani tulionayo kuliko kujiingiza kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.​
 
Back
Top Bottom