Mbowe angehusika hata kama kwa size ya punje kama ya haladari basi kwa kipindi kile walivyokuwa wanamtafuta angekuwa ndani kwa kesi ya mauaji ,kwakuwa mnajua ninyi ndiyo mlikatisha miasha ya Ben ndiyo maana mnaleta utani utani.
Yakitokea mauaji yeyote kama serikali haihusiki basi ndani ya week tu wanakuwa washampata muuaji ila ukiona kimya basi ujue "kazi yao hiyo" ,Milembe na Dr wa Tarime wameuawa usiku wa maanani ,hakukuwa na mtu mwingine zaidi ya wauaji lakini serikali ishawapata waliotekeleza mauaji ila kwa Lissu ambaye alipigwa risasi ndani ya compound yenye ulinzi wa hatari mchana kweupe lakin hakuna aliyekamatwa....Yaani hapo jeshi limejipaka matope kwa udhaifu ili wawalinde kina BASHITE na MAKENZI.