Mkuu umepotea sana....Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.
Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.
Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
Sisi jpm tulimpa go ya hata kuua kwa sababu alikuwa mzalendo na mzalendo ana ua wahuni tu wa taifa ...sasa mtu kama msoga angeuliwa wote tunge furahi sana ....siyo kila mtu ana stailik kuishi.Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.
Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.
Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
.Hapana mm nimesikia tofauti kidogo. Aliwaambia watu wallet akiwa hai. Walivyomleta. Akapanda juu ghorofani akaenda kunywa kakitu kuweka akili sawa. Alivyorudi katoa machine haijarudi
duuuuSi alipigwa chuma na bwana mkubwa kwa baahat mbaya.(corridor za umbeya)
Naambiwa toka lile tukio mwamba hakuwah kuwa Sawa had maut yanamkuta.
Kwahiyo uchunguzi sijui utakuwa kwa ajili ya nini.
Yule Mzee aliondoa watu kikatili sana. Wachunguze na maiti zilizokutwa kwenye viroba
Umeandika nini? Kwa nini usitulie ukaandika vizuri?Hapana mm nimesikia tofauti kidogo. Aliwaambia watu wallet akiwa hai. Walivyomleta. Akapanda juu ghorofani akaenda kunywa kakitu kuweka akili sawa. Alivyorudi katoa machine haijarudi
'Alivyorudi katoa mashine haijarudi' ndo nini sasa?Hapana mm nimesikia tofauti kidogo. Aliwaambia watu wallet akiwa hai. Walivyomleta. Akapanda juu ghorofani akaenda kunywa kakitu kuweka akili sawa. Alivyorudi katoa machine haijarudi
Kaka the boss hapo sijaelewa kidogo hasa anaposema "alivyorudi katoa machine haijarudi"... naomba unieleweshe.Duh kumbe hizi tetesi zina ukweli?
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.
Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.
Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
Matukio yote ya jinai, kama mauaji, utekaji watu, kuwapoteza watu, hata kama hayatawekwa wazi leo, kuna siku yatawekwa wazi yote.Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.
Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.
Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
Duh kumbe hizi tetesi zina ukweli?
Siku zote hizi huyo Kubenea ameshindwa kuonesha mahali alipomwona? Basi wamkamate akawaoneshe.Mbowe amewahi kumtafuta Ben?
Kubenea alisema alimuona Ben pahala anasoma magazeti, ni pahala gani hapo?
Mbowe amewahi kumtafuta Ben?