Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.

Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.

Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.

Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
 
Ukweli uwekwe wazi ili ikibainika alitoa amri ya kupotezwa Ben Rabiu Saanane bc kaburi lipigwe kufuri
FB_IMG_16834805300169162.jpg
 
Si alipigwa chuma na bwana mkubwa kwa baahat mbaya.(corridor za umbeya)

Naambiwa toka lile tukio mwamba hakuwah kuwa Sawa had maut yanamkuta.

Kwahiyo uchunguzi sijui utakuwa kwa ajili ya nini.
Hapana mm nimesikia tofauti kidogo. Aliwaambia watu wallet akiwa hai. Walivyomleta. Akapanda juu ghorofani akaenda kunywa kakitu kuweka akili sawa. Alivyorudi katoa machine haijarudi
 
Yaani kile kikaragosi cha KP kile basi tu Mungu anisamehe
Yule alitakiwa kuchomwa kwa moto wa gesi wakiwa na shetani huko ziwa liwakalo moto
Afu anajificha kwenye kutujengea miundo mbinu ili asifikiriwe na wanyonge kama kuwa hana tabia ya koboko
 
Back
Top Bottom