Tetesi: Inadaiwa Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Serena Hotel

Wanaumoja tabu sana🏃
 
Mpuuzi wewe, habari umepewa flani amekamatwa, kwani mtoa mada ni mkamataji?
 
SASA KAMA ANAKOSA ASIKAMATWE YEYE NI NANI? ACHENI UHUNI WENU ITAJULKIKANA ALIKOSEA WAPI AU TAYARI MMESHAJUWA KAKAMATWA KWAKOSA GANI?
Wewe mhutu uliyejipatia unjagu katika nchi isiyo na mipaka! Watu hutunziwa heshima kwa kuitwa polisi! Huwa kuna shida gani kuvizia kama majambazi! Au kwenu Burundi ndiyo style yenu!?
 
Mbona wa watu wanatekwa na maisha yanasonga? Warundi siku zenu zimeisha! Baba yenu alikufa???
 
Habari hii ni kwa mujibu wa Hilda Newton kupitia mtandao wa twitter:

View attachment 2194271
Nilisikia akidai yuko tayari kutoa ushahidi kwa Rais Samia kuhudu ufisadi wa fedha za serikali kwenye idara fulani( iliyokutwa na wizi wa fedha za wageni) huenda kaenda kutoa ushahidi. May be.

Tutaendelea kujua nini kinafata


Tunaamini serikali ya Mama haina mawaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…