Tetesi: Inadaiwa Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Serena Hotel

Kwani hunu kila mtu akiandika habari za waliokamatwa. Patatosha? Madeleka ni nani?
 
Jamii foruns siku hizi nao wamegeuka jalala la ku-expose kila uchafu unaorushwa humu! Hakuna cha Great Thinkers tena humu!
 
Mtu anatoa tuhuma nzito kwa taasisi ya serikali kwamba wanataka kumuua anaitwa kutoa maelezo haendi huku akiendelea kutoa tuhuma zisizo na kichwa wala miguu akikamatwa ili ahojiwe mnapiga kelele.
 
Mtu anatoa tuhuma nzito kwa taasisi ya serikali kwamba wanataka kumuua anaitwa kutoa maelezo haendi huku akiendelea kutoa tuhuma zisizo na kichwa wala miguu akikamatwa ili ahojiwe mnapiga kelele.
Sasa si wakiri kama wamemkamata,hv ndugu wanakuja Centro polisi kupata uhakika kama kakamatwa halafu wanasema hawajamkamata sasa hiyo nin akili au ujinga wenu nyie mipolishiccm
 
Tuliza mshono dada shonza
 
Mleta mada ungeweka sababu za kukamatwa ungeonekana akili zako kichwani zimo kwa uandishi ulioandika unaonyesha kichwa chako nusu kaputi na umo jamiiforums kwa bahati mbaya sio kama great thinker
Uelewa wako upo chini mnoo...familia imefuatilia jeshi limekanusha! Sababu gani tena unataka zaidi ya yeye kuwaanika wanaopanga njama za Kumpoteza.
 
Tuliaminishwa na wakina Zitto kabwe kuwa baada ya kifo cha Magufuli haya mambo ya kukamatana hovyo hayatakuwepo.au Magufuli kafufuka?
 
Hivi Tanzania tuna tume ya haki za binadamu kweli?
 
Amsterdam ana mamlaka gani Belgium ya kumpa hifadhi Tundu Lisu?

Huwa mnajitowa akili au ni kweli akili zenyewe hamna?
 
Kwani ametekwa? Hajulikani alipo? Huwa kuna sababu maalum ya kutekwa? Ukichukuliwa na polisi ni kutekwa?
 
kuna ukweli wowote kuwa anaishi chini ya mwamvuli wa amstadam?Unaleta upuuyi kwenye hoja ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…