Tetesi: Inadaiwa Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Serena Hotel

Tetesi: Inadaiwa Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Serena Hotel

Kwani hunu kila mtu akiandika habari za waliokamatwa. Patatosha? Madeleka ni nani?
 
Jamiiforums mada kama hizi mfute kama mtu hana reason Ili kujenga hadhi ya jamii forums itasaidia kuweka discipline kuhakikisha mtu kuleta mada kama hizi awe na ushahidi wa kakamatiwa nini?

Moderators mu enforce discipline kufanya jamiiforums kuwa platform highly reliable
Jamii foruns siku hizi nao wamegeuka jalala la ku-expose kila uchafu unaorushwa humu! Hakuna cha Great Thinkers tena humu!
 
Mtu anatoa tuhuma nzito kwa taasisi ya serikali kwamba wanataka kumuua anaitwa kutoa maelezo haendi huku akiendelea kutoa tuhuma zisizo na kichwa wala miguu akikamatwa ili ahojiwe mnapiga kelele.
 
Mtu anatoa tuhuma nzito kwa taasisi ya serikali kwamba wanataka kumuua anaitwa kutoa maelezo haendi huku akiendelea kutoa tuhuma zisizo na kichwa wala miguu akikamatwa ili ahojiwe mnapiga kelele.
Sasa si wakiri kama wamemkamata,hv ndugu wanakuja Centro polisi kupata uhakika kama kakamatwa halafu wanasema hawajamkamata sasa hiyo nin akili au ujinga wenu nyie mipolishiccm
 
Jamiiforums mada kama hizi mfute kama mtu hana reason Ili kujenga hadhi ya jamii forums itasaidia kuweka discipline kuhakikisha mtu kuleta mada kama hizi awe na ushahidi wa kakamatiwa nini?

Moderators mu enforce discipline kufanya jamiiforums kuwa platform highly reliable
Tuliza mshono dada shonza
 
Mleta mada ungeweka sababu za kukamatwa ungeonekana akili zako kichwani zimo kwa uandishi ulioandika unaonyesha kichwa chako nusu kaputi na umo jamiiforums kwa bahati mbaya sio kama great thinker
Uelewa wako upo chini mnoo...familia imefuatilia jeshi limekanusha! Sababu gani tena unataka zaidi ya yeye kuwaanika wanaopanga njama za Kumpoteza.
 
Tuliaminishwa na wakina Zitto kabwe kuwa baada ya kifo cha Magufuli haya mambo ya kukamatana hovyo hayatakuwepo.au Magufuli kafufuka?
 
Wakili Peter Madeleka adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kutoka katika Hotel ya Serena Jijini Dar Es Salaam Jioni hii.

----

Hilda Newton kupitia akaunti yake ya Twitter amesema haya

Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu Serena Hotel Dar Es Salaam na askari waliovalia kiraia anapelekwa Central Police Dar Es Salaam.

Familia ya Peter Madeleka wanasema wamefika Central Police Dar muda huu kwa ajili ya kujua Madeleka kakamatwa kwa kosa gani lakini wameambiwa kwamba Jeahi la Polisi hawajamkamata wala hawamshikilii Madeleka.

Tusaidiane kupaza sauti
#FreePeterMadeleka

Familia ya Peter Madeleka wanasema kwamba wamearifiwa kwamba Madeleka yupo Makao Makuu ya Jeshi la Polisi anahojiwa kwa tuhuma za kuwatuhumu Uhamiaji kuwa wanataka kumuua.

Yani badala ya kuwahoji hao waliokuwa wanapanga kumuua wao wamemgeuzia kibao Madeleka, Inasikitisha

Pia soma
Hivi Tanzania tuna tume ya haki za binadamu kweli?
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema anayeishi na familia yake nchini Ubelgiji kwa hifadhi ya mr Amsterdam bwana Tundu Lisu ameendelea kuhoji sababu za wakili Peter Madereka kuvamiwa na kutekwa na watu wasiojulikana akiwa Serena hotel jijini Dares salaam.

Amsterdam ana mamlaka gani Belgium ya kumpa hifadhi Tundu Lisu?

Huwa mnajitowa akili au ni kweli akili zenyewe hamna?
 
Kwani ametekwa? Hajulikani alipo? Huwa kuna sababu maalum ya kutekwa? Ukichukuliwa na polisi ni kutekwa?
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema anayeishi na familia yake nchini Ubelgiji kwa hifadhi ya mr Amsterdam bwana Tundu Lisu ameendelea kuhoji sababu za wakili Peter Madereka kuvamiwa na kutekwa na watu wasiojulikana akiwa Serena hotel jijini Dares salaam.

kuna ukweli wowote kuwa anaishi chini ya mwamvuli wa amstadam?Unaleta upuuyi kwenye hoja ya msingi.
 
Back
Top Bottom