Inafika wakati unawaza, huenda ndio maana Mungu alimnyima kitu fulani au alimpa mtihani fulani kutokana na tabia zake

Inafika wakati unawaza, huenda ndio maana Mungu alimnyima kitu fulani au alimpa mtihani fulani kutokana na tabia zake

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Mimi si kkamilifu ninamapungufu yangu lakini ouna mambo unakutana nayo unaona hii ni zaidi ya mapungufu.

Sina nia mbaya lakini ni mawazo ambayo nadhani siko pekeangu.

Unaweza muona mtu anaumwa sana, let's say mguu au kitu chochote, ila ukija kusikia chanzo au historia yake unaina kumbe ni kama amelipwa kwa aliyoyafanya.

Pia unaweza ukaona mtu ni fukara sana ukamuonea huruma au hata kumsaidia, lakini kadri unavyoamiliana nae, unajifunza tabia zake ambazo baadae unajikuta tu unasema huenda hizi ndio zinamfanya awe fukara, au labda Mungu amemnyima kipato mana angepata angekua shida sana

Najua hakuna aliekamilika lakini kuna watu mapungufu yao ni changamoto kubwa sana, hasa wakiwa watu wa karibu.
 
Imagine kama wagalatia wa jf ndio wangeku wanatoa punzi, Dk zakir Naik angeshauwawa na haya magaidi.
 
Back
Top Bottom