Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

YESU halinganishwi na kitu chochote kile,[emoji137][emoji137]
 
Wizi mtupu.
 
Tafadhali sana usimlinganishe YESU KRISTO na Binadamu wakawaida

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Acheni kutuchokoza tunayemjua vyema ( nje ndani ) huyo Tapeli wenu kisha tukaanza kutoa Siri zake na mkaanza Kumchukia na Kumdharau Milele.

Tumeamua Kunyamaza ili tumuache aendelee Kula Pesa za Wapumbavu na Wendawazimu ambao amewashika patamu mno.
 
Kama kuna Sala Muhimu ambayo Walokole wengi hawana Time nayo basi ni Baba yetu!

Imebeba kila kitu, Sifa, toba n.k

Ndo msingi sahihi wa Maombi ya leo ya Walokole.
 
Achana na mwamposa, kanunua mitaa 4 pale makumbusho, na kawahamisha wafanya biashara wote..
 
YESU KUTUONYA JUU YA MANABII NA MITUME WA UONGO.

Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
Mathayo 24:24

25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
Mathayo 24:25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…