Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

MWAKA WA KUMI SASA, WEWE KAZI YAKO;-
Napokea napokea napokea .........
libolibo libo libo, shandalabababa, nakemea nakemea.
Toka shetani, toka shetani.....

Mtu unashindwa kumiliki TIN number, halafu eti kwa imani una ndoto za kumiliki Container toka china!!
 
Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.

Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.

Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah,ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.

Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake,isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza,na kufufuka kwa yesu.

Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu.!?
MIUJIZA YOTE YA KUFIKIRIKA.
HUWEZI SIKIA, UMEPATA MTAJI KWA UWEZA WA BWANA,KISHA UKAFUNGUA MADUKA MAKUBWA
 
hivi kwanini serikali intoa leseni kwa hawa matapeli wanaodanganya watu kuwa walemu watatembea, vipofu wataona.....huu si ni utapeli wa wazi na ushahidi upo, why??????
Daktari Bingwa wa Masikio Ana mtoto kiziwi.
Unamwita Bingwa Tapeli au Mbwiga ?
 
Kweli jamaa ni Bulldozer.
Mungu anamtumia kwa kiwango cha hali ya juu.
Jamaaa anachokifsnya ni kuhakikisha watu waone matatizo yao ni marahisi sana mbele za Mungu.
 
Niliacha kuamini hawa watu siku moja NABII TB JOSHUA nilikua namkubali sana kwa miujiza ya viwete wanatembea

Siku moja katika charity work yake walirusha ameenda kituo cha walemavu kutoa misaada.

Nilichoshangaa alitoa misaada ya chakula pamoja na wheelchairs kwa walemavu

Swali why hakuwaombea nao watembee? Akawapa chakula na wheelchairs
 
Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.

Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.

Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah,ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.

Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake,isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza,na kufufuka kwa yesu.

Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu.!?
Sawa mackenzi
 
Watu wengi waliokata tamaa ndo wafuasi wa Mwamposa hasa wanawake waliochezea ujana wao... wale wadada waliokuwa wanadharau na kubadili wanaume, single mothers, waliotoa mimba mara kadhaa na kupata matatizo ya uzazi.. hao ni wafuasi watiifu wa Mwamposa na Kuhani Musa.
 
Kama unaweza kuchezesha macho vizuri kama kipofu kapige pesa kwa manabii na mitime. Ukatoe ushuhuda kuwa ulikuwa kipofu sasa umeponywa kwa mafuta.
Kama unaweza kutembea Kama mlemavu pia unapata pesa.
Acha ujinga wewe , je, kati ya wanaoshuhudia kuna ambaye unamjua?
Wengine huwaambia washuhudie as wameponywa tayari ili Yesu awaponye
 
Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.

Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.

Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.

Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.

Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
Utapeli tu huo ,wajinga ndo waliwao.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wanywe bia.....(In Chalamila Voice) Hayo mengine tuachane nayo yako complicated sana[emoji3][emoji3]
 
Rekodi ya Yesu mbona ilishavunjwa siku nyingi tu

Sio sababu watumishi wa sasa wako vizuri kuliko Yesu la .Ila Yesu Mwenyewe aliomba na kuwaombea watakaofuata baadaye wavunje hiyo rekodi kwa maombi yake

Enzi za Yesu alihubiria watu wachache tu kwa sauti yake tu sasa hivi spika zipo xaweza wafikia wengi kuliko mkutano wa Yesu pia kipindi cha Yesu aliweza wafikia tu waliohudhuria mkutano wake tena wa lugha yake tu bila mkalimani leo watu waweza hubiria dunia nzima mabilioni ya watu kupitia television, nk wa mataifa na lugha mbalimbali kupitia Television ,YouTube, nk kwa kutumia wakalimani nk

Kufanya wanaomwamini makubwa kuliko yeye ni majibu ya maombi aliyoomba sio sababu mtumishi yuko smart sana.Hata wewe waweza fanya makubwa kuliko Yesu

Yohana 14:12​

Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.

Bado hajafikia wa kuvunja rekodi ya Yesu Kristo tuwache ujuaji. Kwanza afunge siku arobaini bila kula halafu afufue aliyekufa kwa siku tatu. Acheni kufuru zisizokuwa na maana.
 
Back
Top Bottom