Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Haswa
 
Yupo na alishauriwa na wenzake kwenye Mambo yao ya vicoba kwamba una tatizo hili emu nenda kajaribu kwa Mwamposa utapona weee mpaka leo hakuna alichopona hali ipo vile vile ni kuugulia tu kila inapoitwa leo
 
Samahani,
Huwa sipendi kuweka maisha yangu in public Kwa sababu zangu binafsi ambazo sio nzurii kuzielezea hapa......

Nacho weza kusema Kwa Sasa kama MWAMPOSA ni SCAM hawezi kuwapanga watu wote wale Kuna maelfu na maelfu ya watu Mungu kawatendea kupitia madhabahu ya Arise & Shine...

Cha kukushaur kama itakupendeza jarib kwenda pale na ajenda yako yeyote...

Najua utakuja kutupa ushuhuda hapa juu ya Matendo makuu ya MUNGU 😊
 
Sawa mkuu 😊😊😊😂😂😂🤣🤣
 
Nacho weza kusema Kwa Sasa kama MWAMPOSA ni SCAM hawezi kuwapanga watu wote wale Kuna maelfu na maelfu ya watu Mungu kawatendea kupitia madhabahu ya Arise & Shine...
Amewachota akili km kweli Mwamposa ni mwanamiujiza mwambie aende Muhimbili au Amana akawanyanyue watu mahututi vitandani watembee wakiwa wamepona mazima, akifanya hivyo kuanzia siku hio Mimi nitakua mpiga DEBE wake kila angle ya dunia
 
Nikushauri tu siku nyingine ukiwa unampgia mtu promo jaribu kutengeneza uongo mzuri unaoedana na ukweli, ona watu wanaoshuhidia wanachofanya mimi nilikuwa mlevi wa kutupwa, mm nilikuwa jambazi, mm nilikuwa malaya na mengine mengi ILA wewe umeshindwa kumtetea mtu ambaye watu wanamshambulia ni tapeli hivyo tunasema rudi akakuelekeze kupanga maneno, halafu sijui ni wewe ulisema siyo layman?
 
Mkuu mimi nipo curiosity kujua MUNGU alikutendea nn hapo KWenye keki na maji KWA mwamposa embu naomba. Unielekeze kidogo ushuhuda wako huenda ukachange maisha ya watu wanaosoma wengi hapa
Nipo barabarani muda huu ila nahaidi nikipata wasaa ntaweka kisa kimoja ambacho kilinifanya nika be introduced pale Kwa MWAMPOSA enzi izo alikua Kule MWENGE,

Ni kisa kirefu ntakiandaa hapa Kwa faida ya wengi kama mlivyo omba....

Wasalaam
 
Amewachota akili km kweli Mwamposa ni mwanamiujiza mwambie aende Muhimbili au Amana akawanyanyue watu mahututi vitandani watembee wakiwa wamepona mazima, akifanya hivyo kuanzia siku hio Mimi nitakua mpiga DEBE wake kila angle ya dunia
Imeandikwa usimjaribu bwana Mungu wako
 
Nawe huna akili kama watu walimwomba yesu awafundishe kusali nayeye akawambia mkitaka kusali semen hv halaf ww unasema niutapeli
 
Imeandikwa usimjaribu bwana Mungu wako
Hakuna kumjaribu Yesu alikua anafanya miujiza bila kujaribiwa kuna jamaa alikatwa sikio akalirudisha km lilivyokua, haya mwambie Mwamposa akaamshe wale wagonjwa Muhimbili wapone waishi au yeye ajenda yake ni ipi si kuwakomboa watu au kufanya nini ?
 
Mchezo huu hauitaji hasira..humu tumekulia makuzi tofaut tofaut pia Imani tofaut tofaut.....

Naona nacho kifanya hapa ni sawa sawa na KUUZA BIBLE DUBAI

Wengine tumetendewa tumeshuhudia wengi wakitendewa na Mungu kupitia madhabahu ya Arise & Shine..
 
Ninae andika hapa sio layman....hata kama hauna Imani...jarib kufanya trial hapo kawe Kwa MWAMPOSA.......

Nenda na ajenda yako yoyote pale #Asap
Utajibiwa mpaka ushangae....
Tulishafanya trials zaidi ya kumi! Na sadaka zetu akala lakini hamna kipya zaidi ya shuhuda za janja janja, na kuibua makongamano kila uchao.. yule bwana amejua sana kula na vipofu..
 
Tulishafanya trials zaidi ya kumi! Na sadaka zetu akala lakini hamna kipya zaidi ya shuhuda za janja janja, na kuibua makongamano kila uchao.. yule bwana amejua sana kula na vipofu..

Masahihisho kidogo….. amejua kuwala vipofu na si kula nao
 
Mchezo huu hauitaji hasira..humu tumekulia makuzi tofaut tofaut pia Imani tofaut tofaut.....

Naona nacho kifanya hapa ni sawa sawa na KUUZA BIBLE DUBAI

Wengine tumetendewa tumeshuhudia wengi wakitendewa na Mungu kupitia madhabahu ya Arise & Shine..
Hatujakataa hivi unanielewa hilo??? Tumekuomba jaribu kushare nasi tujifunze unasema wewe nenda tu hivi hata wewe kweli unaona kitu cha kumuelezea mtu hiyo sababu? Nenda tu!! Umenishangaza umesema utakuja kushare sema lini mimi takukimbusha
 
Muda huu nipo natimiza majukumu ya taifa mpk leo saa 3 usiku Mwenyez MUNGU akijaalia nta share...

Wasalaam
 
Mchezo huu hauitaji hasira..humu tumekulia makuzi tofaut tofaut pia Imani tofaut tofaut.....

Naona nacho kifanya hapa ni sawa sawa na KUUZA BIBLE DUBAI

Wengine tumetendewa tumeshuhudia wengi wakitendewa na Mungu kupitia madhabahu ya Arise & Shine..
Mwamposa ni Mzee Samunge aliechangamka aliwachota watu akili Malaki kwa maelfu na mamiliion mpaka nje ya mipaka ya Nchi Ila kilichofuata ni bila bila, tapeli
 
bladifekeni....unalinganishwa miujiza ya Kristo na mazingaombwe, utapeli na ushirikina wa kinigeria. ulaaniwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…