Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

Kingine cha kushangaza Zaidi, amesema atatumia BAHATI HIYO ALIYOPEWA NA “MUNGU”


Romans 13 reads;-

Everyone must submit himself to the governing authorities for there is no authority except that which God has established ------ consequently he who rebels against what God has instituted and those who do so will bring judgment on themselves --. NIV.

Sasa, inakupasa upingane na Biblia kwanza kabla hujapingana na utawala.
 
Hivi Joyce Banda aliyejitutumua kupigana na Tanzania kipindi cha Kikwete eti kisa ziwa alienda wap?...... Kaz kweli kweli
 
Thibitisha kwa kujibu maswali yangu au kuuliza maswali mazuri zaidi ya Hayo niliyouliza kwenye hili Bandiko


Unapingana na Qur'an na Biblia ndio maana nasema uwezo wako wa kufikiri upo wazi na nimeuona ni mdogo kuliko huyo Kiongozi unayemkosoa. "She is mentally better than you".
 
Chuki ya nini na dhidi ya nini na nani? Mtu amesema Viatu vya mtangulizi wake vinampwaya sasa sisi kuhoji kama vinampwaya anatafuta nini tena kwa kuhitaji kuvivaa Viatu hivyo hivyo na hiyo ndo imekuwa Chuki?
Hawawezi kulingana hata hivyo wao ni watu wawili tofauti sasa ulitaka asemeje?
Lakini hiyo haina maana hafai au hastahili kuwa rais wa nchi hii na kwanini iwe lazima kufuata staili ya Magufuli! hiyo hapana kwa sababu hata huyo Magufuli mwenyewe alisema wazi hataki kupangiwa aachwe amalize halafu ndio akosolewe.

Magufuli alikuwa binadamu kama wengine Mungu alimjaalia kipawa chake kama ambavyo wamepewa wengine,hakuna mahali popote imesemwa rais wa nchi hii atakuwa Magufuli tu au mtu yeyote atakayekuwa rais wa nchi hii basi lazima alingane na Magufuli.
 
Na yule aliesema alijikuta amesukumiziwa huko 🤣🤣
 
Ali Hasan Mwinyi aliwahi kusema kuwa kumlinganisha yeye na Mwalimu Nyerere ni kulinganisha kichuguu (yeye Mwinyi) na mlima Kilimanjaro (Mwalimu Nyerere), lakini alikuwa Rais wa vipindi viwili.
 
Hapo uko wrong mkuu, sidhani Kama kwenye mstali huu, theologically sidhan Kama umefuata all principal of biblical interpretation!!! Siyo kila msatari wa biblia ukiusoma unautafisiri directly Hivi hvi...

Kwa mfano ukisoma. 1 samwel 16:23, utakuta neno linasema "Roho mbaya kutoka kwa Mungu ikamuingia Sauli.....

Usipofuata kanuni maalam za kutafisiri maandiko, utaelewa hivyo, lakin ukweli, sifa kuu ya Mungu ni mtakatifu. Hachagaman na uovu wowote, so hiyo roho mbaya ilitoka wap????....

Au mtu anakuuliza, wakati Paulo na Sila wamefungwa, Nan alikuwa IGP? Hapo mkuu lazma principal of biblical interpretation zichukue nafasi yake....

Ngoja ni pause kwanza
 
Acheni kuteseka SG
Kama mwendawazimu jiwe aliweza ongoza hii Nchi Samia atashindwaje?

Yaani serious ushindwe kuongoza akili za watanganyika?
Kwa kitu Gani Cha mhimu tulichonacho hapa Nchi Ili hali hata vijiko na vichokonolea meno tunaagiza china?
Kuongoza hii Nchi ni Sawa na mchaga kuongoza bar yenye wanakaanga kitimoto au mangi kuongoza duka lake!

Cool down dude!
 


Hizo principle za Biblical interpretation zimewekwa na Mungu??
 
Unaongea wee...

Unabwata wee....

Unajikuta unashtuka kutoka NDOTONI...... ULIYOIOTA mwenyewe....

Nchi hii kila Rais anatakiwa kumuiga sana kiongozi mmoja tu.....

Mmoja tu....

Mmoja tu.....

Naye ni yule aliyeondoka Oktoba 14/1999.......

Rest Easy El Comandante Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aaaamin aaaamin aaaaamin 🙏

SIEMPRE JMT
 
Tukubali baada ya "Mwendazake" sasa anayemrithi anakiri hadharani kuwa uwezo wake msiuwekee matumaini sana kama ambavyo tulifanya kwa "Mwendazake"?
Kauli ya Chifu Hangaya ni nzito sana kwa wasiokijua vyema KISWAHILI.....

Anasema hivi...."VIATU VYAKE VINANIPWAYA...."

Hapo juu unapata tafsiri nyingi Sana....ila mpaka uwe MBOBEZI WA KISWAHILI......


SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA

ADUMU MILELE CHIFU MKUU HANGAYA aaaaamin aaaaaamin aaaaaamin🙏

ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA CHIFU MKUU HANGAYA , aaaamin aaaamin aaaaamin🙏
 

KWANI HUJAFUNDISHWA HOW TO SUMMARIZE A STORY?

MKUU NIMESHINDWA KUSOMA KABISA ILA FUATILIA MAKALA ZANGU UTAELEWA,
 
KWANI HUJAFUNDISHWA HOW TO SUMMARIZE A STORY?

MKUU NIMESHINDWA KUSOMA KABISA ILA FUATILIA MAKALA ZANGU UTAELEWA,
🤣🤣🤣

Atakuwa ni "mgaigai" anayependa kupigizana kelele na UKUTA.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…