Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

 
Falsafa za Magu nitaziishi na nikuarifu niko kwenye raiti traki hapa wala hawajui nyendo zangu siku naapa na kuweka wazi falsafa zangu ndio utanikumbuka
 
 
Endeleeni tu na chuki mwenzenu anaendelea na majukumu ya kuleta maendeleo.
Hivi kwanini msingemshauri yule mungu wenu apendekeze jina lingine ile 2020! Watu mnaangaika kama mna kifaduro.
Chawa mnakazi kweli, utafikili N hi imepata Uhuru leo.
 
Viatu vya mtangulizi wake kweli vinapwaya,ila ameamua kuchonga kwa kwakwe vinavyo mtosha kwani kila mtu ana namna yake ya kuongoza ....muache achape kazi.
 
Nijambo la aibu kumsikia kiongoz anasema viatu n vikubwa au wakati unaondoka nlikuwa na woga.... Lakin hakuna namna ndio aina ya viongoz tulionao wanaonyesha udhaifu mbele ya hadhira yao
 
Ccm wasikubali ujinga wa kusema huyo mwanamke aachwe aendelee muhula wa pili bila mchakato wa chama kushindanisha wagombea kufanyika. Hilo linapaswa kuwa kwa yule kiongozi aliyechaguliwa ila huyu aliyerithi madaraka lazima ieleweke anachofanya ni kukamilisha muhula wa yule aliyetangulia. Isije kuonekana kama huu ni mhula wake, je, vipi kama mtangulizi wake angefariki mwaka mmoja kabla ya uchaguzi hapo 2025, je, huyu angeachwa kuw mgombes bila kushindanishwa!?
 
Takataka
 
Nijambo la aibu kumsikia kiongoz anasema viatu n vikubwa au wakati unaondoka nlikuwa na woga.... Lakin hakuna namna ndio aina ya viongoz tulionao wanaonyesha udhaifu mbele ya hadhira yao
Na kinyume chake ni hivyohivyo......

Unaweza ukauonesha UJASIRI MKUBWA mno mbele ya HADHIRA na kuishia kuwa KIONGOZI BOGUS kupita maelezo......

Humu Afrika kila nchi huwa wanapita VIONGOZI WAZURI SANA KWA KAULI NA UJASIRI ULIOPITILIZA mwishowe HUWA TUNAYASHUHUDIA ya ajabu kila uchao.....

My take : Maneno mazuri na ujasiri mkuu hadharani pekee huwa havitoshi

#SiempreJMT
 
Acha fitna mkuu. Tanzania kama Tanzania nani atashindwa kuiongoza? Ndugu zangu wanyakyusa watakuambia: “ee, kwa nini asiwe Rais? Mwache naye ale kwani naye si ni mtu!”

Seriously, mpaka sasa tumeshathibitishiwa kuwa nchi hii watu wa kila dizaini wanaweza kuwa Rais.
Siku uendawazimu utakapotutoka na “sanity” kuturudia kiasi cha kuona umuhimu wa kuwa na katiba mpya, bora na muafaka ndio siku tutakapokuwa na uhalali wa kuhoji aina ya Rais tumtakaye.
Bila katiba mpya, huyu anafaa sana. Kujidai kumponda ni chuki binafsi. Kwani naye si ni mtu!
 
Falsafa za Magu nitaziishi na nikuarifu niko kwenye raiti traki hapa wala hawajui nyendo zangu siku naapa na kuweka wazi falsafa zangu ndio utanikumbuka

Falsafa za Magu ni zipi?
 
swari la msingi,ni kwann aanze kujitangaza rasmi kuwa atagombea 2025,ikiwa hata robo ya muhula haijaisha!?,je ni kuweka mazingira ya kuwatisha wengine wasioneshe nia!,je ni kuomba huruma kwa wengine wasigombee/au kuonyesha nia ya kuingia kwenye kinyang'anyilo ndani ya chama !? Kuna majuzi hivi nimemskia naibu wazir fulani nae akisema hadharani kuwa,kwa kuwa mama ataendelea Hadi 2030!! Nashangaa haya Mambo yanatoka wapi kuanza kumnadi mtu na wakati/muda bado haujafika wa kujinadi!!sijajua katiba ya chama inasemaje na inalitazama vipi hili swala !! Kama hii picha haitawekwa sawa na chama ,wajitafakali Sana ,Leo yeye ,kesho namwingine nae atafanya vivyohivyo,mwisho wa siku litakuja kulipuka bonge la bomu .....chama wanatakiwa kuliweka sawa hili Jambo ndani ya kamati zao za maadili na miongozo !!
[emoji120]
 
Ikiwa tu huna ADABU na kumuita Rais Wa Nchi "huyu mwanamke" utaipata akili gani pevu ya kuongelea mustakabali mwema wa nchi?!!!

Unadhani nchi inaongozwa KIHISIA Kama uungozavyo mwili wako ?!!!

Huyo ndiye MWENYEKITI WA CCM....

CCM ni chama cha kijamaa kinachotii KICHWA CHA CHAMA.......

Mh.Rais SSH tunamtii vyema tu na hakuna wa kumzuia.....hayupo....hayupo nakuambia.......


SIEMPRE CCM

UTII KWA MWENYEKITI NI LAZIMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…