Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

MWENYEKITI wa CCM hapingwi kwa hoja dhaifu....na hoja zenye mantiki dhidi ya MWENYEKITI Wala hazipo......

Siempre Mwenyekiti Wa CCM💪
 
Ulitaka nimuite mwanaume wakati hata yeye mwenyewe anajua kuwa yeye si mwanaume!? Wewe ukimuita hivyo inatosha. 2025 ni muda wa wanachama wote kuomba urais. Yeye hajachaguliwa. Eti chama cha kijamaa! Upuuzi mtupu. Nani mjamaa ndani yame!?
 
Ulitaka nimuite mwanaume wakati hata yeye mwenyewe anajua kuwa yeye si mwanaume!? Wewe ukimuita hivyo inatosha. 2025 ni muda wa wanachama wote kuomba urais. Yeye hajachaguliwa.
🤣🤣

Endelea kuufukuza upepo

Katiba ,mila na ada ya CCM si kila mwanachama anaweza kuomba urais haswa pale ambapo aliyepo madarakani ana muhula mmoja.....

Ndio taratibu hizo muraaa......
 
MWENYEKITI wa CCM hapingwi kwa hoja dhaifu....na hoja zenye mantiki dhidi ya MWENYEKITI Wala hazipo......

Siempre Mwenyekiti Wa CCM[emoji123]
Karejee kuisoma katiba ya chama,uone inasemaje,usijibu kwa sababu una mahaba nae Sana,hatukatai kuwa na mahaba nae ni haki yako ya kikatiba ,lakini usipotoshe miongozo na katiba ya chama inavyosema/kuelekeza. katiba ya chama na miongozo yake ni kubwa kuliko mwejkt wa chama.hoja yako inatoa picha kuwa mwjkt wa chama hapaswi kuguswa na katiba/yuko juu ya katiba ya chama!! Hoja uliyoitoa inaonyesha uchanga kwenye tasnia ya siasa,uongozi na utawala bola!
 
🤣🤣

Endelea kuufukuza upepo

Katiba ,mila na ada ya CCM si kila mwanachama anaweza kuomba urais haswa pale ambapo aliyepo madarakani ana muhula mmoja.....

Ndio taratibu hizo muraaa......
Taratibu hizo ni kwa yule aliyechaguliwa. Je, mfano jpm angefariki januari 2025, yeye angedai oktoba 2025 agombee yeye bila mchakato wa uchaguzi wa wanachama kuchukua fomu kuomba nafasi kufanyika!?
 
Watu wanachuki za kifala
 
Anaamini hata wanawake wenzie hawana uwezo isipokuwa yeye pekee tu kama sivyo angewaambia wanawake wenzie wanachuane naye.
 
Taratibu hizo ni kwa yule aliyechaguliwa. Je, mfano jpm angefariki januari 2025, yeye angedai oktoba 2025 agombee yeye bila mchakato wa uchaguzi wa wanachama kuchukua fomu kuomba nafasi kufanyika!?
Unajichanganya sana....

Kwa hizo hesabu zako hwenda kipindi hicho cha mpaka oktoba 2025 CHAMA kikawa chini ya makamu mwenyekiti.....kwa hiyo Rais aliyeko madarakani akawa bado si mwenyekiti.....

Kwa muktadha huo inawezekana hiyo ADA NA TARATIBU ZETU zisifuatwe.....

Ila.....

Ni kinyume kwa mh.Rais SSH....ameshakuwa MWENYEKITI WETU.....💪

My take: Ilishawahi kupita zaidi ya mwaka Rais aliyeko madarakani kutokuwa mwenyekiti wa CCM

SIEMPRE MWENYEKITI SSH👊💪🙏😍
 
Anaamini hata wanawake wenzie hawana uwezo isipokuwa yeye pekee tu kama sivyo angewaambia wanawake wenzie wanachuane naye.
Yeye ndiye mwenyekiti wetu.....

Na CCM ina ADA NA KAWAIDA ya kumheshimu sana mwenyekiti......

ADUMU MILELE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin aaaamin🙏
 
Chuki ya nini na dhidi ya nini na nani? Mtu amesema Viatu vya mtangulizi wake vinampwaya sasa sisi kuhoji kama vinampwaya anatafuta nini tena kwa kuhitaji kuvivaa Viatu hivyo hivyo na hiyo ndo imekuwa Chuki?
Wakati binadamu haturingani
 
Yeye ndiye mwenyekiti wetu.....

Na CCM ina ADA NA KAWAIDA ya kumheshimu sana mwenyekiti......

ADUMU MILELE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin aaaamin🙏
Kumbe, Mwenyekiti ndiye kila Kitu na wanachama kama wewe Ni wapiga mihuri tu? Hivi vile vikao huwa Ni vya nini ikiwa Mwenyekiti ndiye kila Kitu?
 
Hizo principle za Biblical interpretation zimewekwa na Mungu??

Hizo principle za Biblical interpretation zimewekwa na Mungu??

Ahaaaa, mkuu swali lako linahitaji uingie theological school au umuulize mchungaji wako aliyesoma elimu ya theolojia vizur atakujibu...... Ikishindikana mada hii tutai hamisha kwenye jukwaa la dini uko tutajimwaga vizuri.......
 
Hata Yesu kuwepo mbinguni kwa zaidi ya miaka 2000 itahitaji Biblical interpretation, au siyo??
 
Ulisoma wapi hii Teolojia Uchwara? Kwa hiyo, hiyo text inaelekeza kuwa watu hawapaswi kumkosoa Kiongozi?
 
M
KWANI HUJAFUNDISHWA HOW TO SUMMARIZE A STORY?

MKUU NIMESHINDWA KUSOMA KABISA ILA FUATILIA MAKALA ZANGU UTAELEWA,
Makala zako ndio ziko summarized au nizifuatilie kwa maana sasa wewe ndo uwe unaandika kwa niaba yangu?
 
Kumbe, Mwenyekiti ndiye kila Kitu na wanachama kama wewe Ni wapiga mihuri tu? Hivi vile vikao huwa Ni vya nini ikiwa Mwenyekiti ndiye kila Kitu?
Kila kitu haina maana FIKRA ZAKE ZISIZO SAHIHI ZIDUMU laa hashaa!

Ila fikra za mwenyekiti kutaka kugombea kipindi kijacho ni SAHIHI sanaa💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…