Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

Dini yako inasemaje? Inakueleza ?kuwa Kjongozi anajiteua tu na kujipachika? Mtume Muhammad alijiteua au alipewa utume na Malaika Jibrili kama inavyoadithia Kurani?
Sura na Ibara gani ya Quran Tukufu ili kufanya rejea, tafadhali
 
FYOKOOO (in nay wa mitego's voice)!

Jitahidini kumshusha kwa kadiri muwezavyo.....lkn Mungu alishapanga lake ambalo ndo hilo limeshakuwa, atatuonyesha alilopanga jingine muda alioupanga kutuonyesha utakapofika. Kwahiyo kwa sasa endeleeni kujichimbia chimbo huko mkitafuta matusi zaidi huku mkizidi kukondeana na kukakamaa sura sababu ya kuvuja kwa tindikali katika makongosho (sijui ini) kunakosababishwa na chuki na wivu kwa mtu ambaye amekuacha maelfu ya maili, kichekesho zaidi ni kuwa kwa mjinga km wewe tu ndo hata kukusikia hakusikii.
 
Endeleeni tu na chuki mwenzenu anaendelea na majukumu ya kuleta maendeleo.
Hivi kwanini msingemshauri yule mungu wenu apendekeze jina lingine ile 2020! Watu mnaangaika kama mna kifaduro.
shida watu wengi mnapenda kula mikate kuliko kutengeneza mikate mmekubali maswali magumu yajibiwe kwa majibu rahisi kweli? bado tuko mbali sana kwa mazingira haya.
 
Tukubali baada ya "Mwendazake" sasa anayemrithi anakiri hadharani kuwa uwezo wake msiuwekee matumaini sana kama ambavyo tulifanya kwa "Mwendazake"?
Ee bwana ee! Yaani hata mtaalamu wewe ndo hivyo ulivyoitafsiri ile kauli?!!! https://jamii.app/JFUserGuide politics, https://jamii.app/JFUserGuide politcans.....inaondoa uwezo wa watu kufikiri aisee!!
 
Halafu Ni tabia kama ya MbwaKoko kukoromea baadhi ya Mbwa tu huku wengine akiwagwaya. Wao wanajitia kimbelembele kuwakoromea wapinzani wanamuogopa Mgombea aliyejitangaza kabla ya muda

Ndiyo maana akisikia katiba mpya roho karibu kumtoka.

Uhuru, usawa na haki anajua ndiyo kiama chake.

Kwamba huyo ndiyo atoe ruksa ya wengine nao kutupa karata zao? Kwa incentive ipi?

Nia yake ni kukomaa tu hakuna katiba mpya au tume huru kabla ya 2025.
 
Chuki ya nini na dhidi ya nini na nani? Mtu amesema Viatu vya mtangulizi wake vinampwaya sasa sisi kuhoji kama vinampwaya anatafuta nini tena kwa kuhitaji kuvivaa Viatu hivyo hivyo na hiyo ndo imekuwa Chuki?
Tatizo si.mswahili, inaweza kuwa kupwaya kwa viatu siyo complement kabisa. Viatu vikivaliwa sana au vimeshachakaa vinaongezeka ukubwa. Na vinakuwq haviko suitable au havivaliki. Ukivivaa mitaani unaweza kuchekwa!
 
Ulisoma wapi hii Teolojia Uchwara? Kwa hiyo, hiyo text inaelekeza kuwa watu hawapaswi kumkosoa Kiongozi?


Hiyo sio "Theolojia" bali ni nukuu kutoka Biblia, wewe ulipinga kwamba huyo kiongozi hajateuliwa na Mungu ndio maana nimekuletea ushahidi kutoka ndani ya Biblia kwamba kila mamlaka/kiongozi ni chaguo la Mungu.
 
Mmmmm watz jaman



Ndiyo maana ata tukikutana live nikakuuliza mbinguni ni wapi? Nioneshe mbinguni alipo Yesu?? Uta Anza kudownload ubongo sana


Kwani Yesu alipopaa physically alipaa kutoka wapi na kuelekea wapi??, alikuwa kavaa nguo au hakuwa na nguo, hizo nguo bado anazo au hana??, huko alipokuwepo anakula nini??---- je maswali hayo yanahitaji Biblical interpretation ??
 


Hapo haijasemwa shetani na Mungu walikutana Wapi ??--- msingi ni kwamba walikutana na wakaongea, Muhimu hapo ni Maongezi yao tu.

Upande wa Roman 13, muhimu ni kwamba authority yoyote inatoka kwa Mungu, hivyo Kiongozi yeyote anaposema kachaguliwa na Mungu hapo hajakosea.
 
Alitakiwa ayajue haya. Kile kitendo cha kulilia Viatu vya wengine vimjae ndio kuonyesha uwezo Mdogo na hapa ndio Makala imelala

Sikiliza.....

Nchi yetu haina ilani ya Taifa, ina ilani za vyama.

Nyerere aliacha kabati la chama liitwalo ilani lililojaa viatu vya kila aina.

Ilani ya CCM imekuwa ikitumiwa na maraisi wakati wote na kila raisi aliamua avae viatu aina ipi ndani ya hilo kabati liitwalo ilani.

Mwinyi hakuvitaka viatu vya nyerere, akafungua ilani akavaa vya kwake.

Mkapa hakuvitaka viatu vya mwinyi, akafungua ilani akavaa vya kwake.

Kikwete hakuvitaka viatu vya mkapa akafungua ilani akavaa vya kwake.

JPM hakuvitaka viatu vya Kikwete akafungua ilani akavaa vya kwake.

Samia hajasema anavitaka viatu vya JPM amesema havimtoshi, naye kafungua ilani kavaa vya kwake.

Wewe unamponda Samia sababu kwa mtazamo wako unapenda viatu vya JPM au Nyerere.

Sasa wapo wasiopenda mabuti ya ujamaa aliyoyavaa nyerere.

Wengine wanapendelea moka za ubepari au sendo za ubeberu na siku moja moja mabuti ya ujamaa.

Wengine wanataka mabuti ya ujamaa na moka za ubepari.

Nchi ina raia mamilioni wenye mitazamo na mapendekezo tofauti.
KAZI INAENDELEA.
 
Yote sawa tu ....

Ndio ADA NA KAWAIDA YA CCM....

#Siempre JMT
"udezodezo" ndio ada na kawaida ya CCM!!???
Udezodezo = kubebwa na polisi/Tisiii/Tume ya uchafuzi + wizi wa kura.
Akhsante kwa kukiri kuwa CCM ni kawaida kubebwa bebwa.
 
Hitimisho; Huwezi kuwa bora bila ya kuwa na mshindani.
Dhahabu ili iwe bora inapita kwenye michakato kadhaa.
Hakuna "mshindi" bila ya kuwepo "washindani".
 
Mama anapiga kwenye mshono,mitano tena kwa Mama[emoji1787]
Hizi nyokonyoko mbona hukuwahi kuuliza kipindi cha yule mwezi mchanga ambaye uwezo wake wa kuongozo kimsingi ulikuwa mdogo sana.
 
Unapoona wapinzani wako wanadokoadokoa sentensi kutoka katika hotuba zako ujue tayari umewashinda na unafanya vizuri!! "Viatu vya fulani vimenipwaya" ni kauli ya kiungwana na kistaarabu kumsitiri marehemu!! Ulitaka amtukane aseme "Dikteta uchwara Alikuwa anawashwawashwa"? Kama ambavyo huyo jamaa yako (Ambaye sidhani kama alikuwa ana utimamu wa kuongoza nchi) alikuwa haishi kuwatukana watangulizi wake?? Uzuri Mother huwa hasikilizi wala kuwajibu wajane kama wewe, yeye anachapa kazi tu.

"Rais Samia lazima amalize vipindi vyake viwili, lazima aongoze nchi hadi 2030"-By MKM (Waziri mkuu wa JMT), Kama waziri mkuu kasema hilo mimi ni nani nipinge??.

Hatutaki tena marais wa hovyohovyo nchi hii, wakurupukaji na wapenda sifa za kijinga, wasio na utimamu wa akili, akitoka huyu anaingia tena Rais humble, aliyekulia makuzi mazuri na mwenye adabu, asiye na chembe ya ufisadi na anayeheshimu utu wa mtu. Mawaziri Wakuu tunaweza kuwaweka kama hilo jamaa lako, ili likizingua linapigwa na kitu kizito kichwani.
 
Kwanza Magufuli viatu vya urais vilimpwaya sana ikabidi atumie nguvu na mabavu. Sasa kama huyu anapwaywa na viatu vilivyompwaya dikteta Magufuli, basi tumapatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…