Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Kwenye picha:cheki huyo mwamba mwenye mzula anavyomwangalia gamondi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukisema aachwe sababu aliipa mataji, ulitaka aondolewe baada ya timu kupokonywa mataji aliyopa?View attachment 3153024
...Maisha ya Makocha wa Football kwenye Timu huwa hayategemei mafanikio uliyowapa huko nyuma bali mwenendo wa timu kwa wakati huo.
Maisha ya Makocha wa Klabu za Simba na Yanga huwa hayategemei rekodi uliyoiweka kwenye klabu bali kelele za Mashabiki na maamuzi ya viongozi kwa wakati huo.
Na hii ni kwasababu viongozi wa timu wanajua huwa wanashindaje hizo mechi...
Ndio maana Simba waliachana na Didier Gomes Da Rosa na Patrick Aussems walioweka alama kubwa kwenye mafanikio ya Simba Kimataifa hivi karibuni.
Ndivyo ilivyo hata kwa Master Miguel Gamondi wa Yanga
Licha ya vikao kuisha na Gamondi kupewa mechi 3 bado Viongozi wa Yanga wanatafuta mbadala wa Gamondi.
Taarifa zinaeleza mmoja wa viongozi wa Yanga hivi karibuni amesafiri nje ya Nchi kumfuatilia mbadala wa Gamondi.
Hata Gamondi mwenyewe anafahamu...
Najiuliza,
Gamondi amewapa mataji mengi Yanga kwa muda aliokaa
Gamondi yuko nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi akiwa nyuma kwa alama moja tu.
Gamondi ameipeleka timu hatua ya Makundi CAFCL
Kama huyu hafai...Yanga inapaswa kuwa na Kocha wa namna gani? Maana hata Pep anafungwa!
Hii inafikirisha sana...
✍️Sospeter IlagilaView attachment 3153023
Swala siyo kufungwa, swala ni Gamondi timu ilishamuelemea,Akina Hersi ni wapumbavu
Liverpool tulikuwa tunaongoza ligi ila tulifungwa na LUTON TOWN
Timu iliyo mkiani.
Man city anapoteza na kudraw mechi 3, 4 mfululizo ila huoni wakimfukuza Kocha.
Aseno anafungwa na timu zilizopo mikiani
Yanga ni nani hasa wasifungwe?
Hata timu bora huwa zinafungwa.
Engineer na genge lao la wahuni
Yote ni mapumbavu popote yalipo.
...
Ligi za tz za kipumbavu sana
Hakuna kukirupuka, ni uamuzi sahihi katika muda sahihi.Ndo utwambie ww sababu za kumfukuza ni zipi km anapotosha tupe mwanga ww
Ila kwa weng kufukwazwa kwa gamondu ni km kukurupuka tu kwa viongozi na mashabiki wanaotaka furaha toka kwenye mpira wakat furaha inapatikana tkt vtu vingi tu