Inafikirisha sana sababu za Yanga kuachana Gamondi

Tukisema aachwe sababu aliipa mataji, ulitaka aondolewe baada ya timu kupokonywa mataji aliyopa?
Kila mtu anajua Yanga ilivyosajili wachezaji mahiri, lakini cha ajabu tang simu umeaza imekuwa na matokeo yasiyoridhisha. Timu inacheza, inatengeneza afasi zaidi ya 10 inaishia kupata goli moja.
Nawaaifu Yanga kwa kubadilisha kocha sababu kitendo hicho ni sawa na usajiri wa wachwzaji wapya wanaoelewana na kujuana, kila mmoja ataanza kugombea namba.
 
Swala siyo kufungwa, swala ni Gamondi timu ilishamuelemea,
 
Ndo utwambie ww sababu za kumfukuza ni zipi km anapotosha tupe mwanga ww

Ila kwa weng kufukwazwa kwa gamondu ni km kukurupuka tu kwa viongozi na mashabiki wanaotaka furaha toka kwenye mpira wakat furaha inapatikana tkt vtu vingi tu
Hakuna kukirupuka, ni uamuzi sahihi katika muda sahihi.
Gamondi timu ilishamshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…