Inahitaji akili iliyochoka kabisa kusema, awamu hii ipo kwa ajili ya Wananchi!

Inahitaji akili iliyochoka kabisa kusema, awamu hii ipo kwa ajili ya Wananchi!

Nsanzagee

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
2,209
Reaction score
4,769
Kushindwa kupo tu, lakini si kwa awamu hii ya sita! Hii ndo imeshindwa kila kona kiasi cha kutia hasira ndugu zangu!

Mtu akiniambia kwamba, awamu hii ipo kwa ajili ya wananchi wote, nitamuona hana akili sawasawa,

Mpaka hapa tulipo, ni kwa lipi awamu hii imefanya hadi tuseme, oooh! Kweli bhana, kwa hili limefanywa ili wananchi walioko huko Nanjlinji wawe na maisha angalau yenye ubora na unafuu, hivi, ni juhudi zipi zinafannywa na uongozi awamu ya sita ili kuwaondolea wananchi ukali wa maisha?

Hao machawa nao wanatuletea habari za leo mama kasema hiki, lakini ni kipi kimekuwa focused kwa wananchi, ni hakuna, ni habari za kupanda kwa gharama za maisha tu ndo zinatawala kila uchao

Nashindwa kuelewa ikiwa awamu ya sita ipo kweli kwa ajili ya kuwatetea wananchi walio wengi ama kuwatengenezea barabara ya umasikini wa kudumu!
 
Sijui huyu mama amekuaje!!?

Yaani nchi inajiendea tu huku wengine wakijichotea!!

Amini nawaambieni, kinachoendelea kwenye maeneo ya hifadhi kinatisha kinatisha!! Kila mtu anajipimia tu maelfu ya maeneo!!

Hakika Mungu atunusuru. Tunevamiwa na kundi la mchwa
 
Back
Top Bottom