Inakera kuona msanii mmoja tu ndo anapaparukiwa na makampuni

Status
Not open for further replies.
well said
 
Reactions: me1
Huu ni wivu, uchawi na unafiki
 

Huu ni uongo mtakatifu na umemuingiza kiba ili thread yako isipotezewe na wadau....

Vee money ni balozi wa colour paints, samsung na vitu vingine kibao ila tu havina airtime kama voda...unakumbuka wakati vee akiwa airtel ww

Navy kenzo (airtel).. Shetta (star times), shaa (kuna kipindi alikuwa wa pedi za freestyle) , lady jaydee ( kuna kampuni ya mafuta ya foreigners ila siijui vyema )

Sio lazma kila msanii akipewa ubalozi aje kwako msajili wa mabalozi
 

Hahahahhaha NA BADO
 
upo dar?
 
Watu bwana utamlinganishaje Kiba na Diamond kwa mfano? kwa lipi hasa.Siyo shabiki wa mwanamziki yeyote na sipendi mziki kivile lakini when it comes kwa huyu dogo ni habari nyingine.Kijana anajituma sana.Najaribu kufikiri watu tumesota kwenye shule hadi Phd tunazo lakini huwezi pata confidence ya kuhojiwa na chombo cha habari kikubwa kama BBC kwa kizungu ni aibu maana hakuna unachojieleza kikaeleweka lakini kijana efforts zake anamwaga kizungu wasomi na phonology zenu na syntax na magrammar ya vyuo vikuu hakuna kitu.
Anastahili kabisa kwa jitihada alizonazo mleta mada unaonekana una chuki binafsi
 
Una wivu wa kike, utasutwa mjini hapa.
 
Aina ya mashabiki wa Alikiba walivyo , pathetic!
Wanaamini kila anachopata diamond kiba anastahili zaidi wanasahau kwamba hakuna kinachokuja bure bila kujituma na kuwa mbunifu, wataendelea kumuona kwenye tv na wakizima watamsikia kwenye radio wakizima na hiyo watamuona kwenye mabango barabarani diamond haepukiki
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…