Inakera kuona msanii mmoja tu ndo anapaparukiwa na makampuni

Status
Not open for further replies.
Kiba hatakagi show off za kina domo mara cjui Nina nyumba ngpi mara nina nyuma SA yy mambo yake kimy kimy....hana ulimbukeni wa maisha
Nyumba uzione tu kwny picha mkuu kuwa nayo ni shughuli kubwa sana
 
Duh..Kweli Nimeamini,Unapoianza Safari,Watakutia Moyo,Unapoonesha Mafanikio,Wanainua Vikwazo,Siyo Wote Wafurahiao Mafanikio Yako

Go Diamond...go baby,

NavyKenzo Wamekuwa Airtel Ambassadors, Hamjaona
*Lady Jay Dee Balozi wa Oriflame Hamkuona
*Alikiba Wildaid Ambassador Hamkuona
*MwanaFa Samsung Ambassador Hamkuona
*Vanessa Mdee Samsung Galaxy J Ambassador Hamkuona...#Don Hate The Player,Hate The Game...Dai akiwa Brand Ambassador Anawatendea Haki Hata waliompa Tender,Hawa Wengine Wanachukulia Poa,Unadhani Next Time Watapewa Tena?You should Know How To Brand Yourself My Dear Kiba(Mtoa Mada
 
Kitu ambacho sitaki kuamini ni kwamba wasanii wengine hawayafanyi kama anayoyafanya diamond...... Kama hilo swala uliloliyolea mfano. Ni kweli wengine hawafanyi?
Wengine kama nani? Kuna wasanii kibao tu ni brand ambassadors wa kampuni mbalimbali-- sasa hao ambao unaona wanaonewa ni akina nani?
 
Tukimtazama mama yako sijui tutapata jibu gani
 
Ha ha ha afu na ushabiki wa uongo ha ha ha kiba is overrated mnamsifia sifa za uongo ndo maana hapigi hatua
Afu unadhani mie shabiki wala.. ..mie naongea according to my perception.
 
Wewe nawe ..........hata kwenye business lazma uwe na alternatives na si kutegemea kitu kimoja.....tatizo ni poor market strategy.
 
Tatizo unajifanya huelewi wakati unaelewa! Hivi condition niliyoweka hapo ni kuwa celebrity au nimesema msanii mwenyewe kuwa brand in advance?!
Sema hatuelewani.........
 
Sasa huoni kwamba unatuonea Sister? Yaani u ambassador watoe Vodacom na Coca-Cola uje kutusimanga sisi; aaaaaaargh!
Sijamsimanga mtu yoyote......ndiyo maana ya mada ni kujadiliwa...........ila nyie mnafanya ushabiki......mie sina team hata moja.
 
Unajua Beyonce hajafollow mtu kwny Instagram lkn mbn makampuni yanamtafuta so unataka kunambia na yy ana poor social interaction
Nilijua tu utatoa mfano wa Beyonce huku ukisahau kwamba Jay Z - Beyonce Family tayari ni brand by itself!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…