Inakera sana: Mtu umemlipia nauli kutoka mkoa hadi mkoa baada ya muda mrefu hamjaonana, akija gemu hafifu sana

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Jamani hizi ni zama za nipe nikupe! Huu ndio ukweli wa maisha ya siku hizi.

Wadada mnaopenda kuhudimiwa na wanaume( Karibu nyote mnapenda) mjipime na kujitafakari kama huduma mnazotoa zinakidhi viwango au la!

Huyu mpenzi wangu mimi kutokana na kazi zangu za kuhudumia jamii, nakuwa bize sana mwaka hadi mwaka kiasi kwamba hatuonani mara kwa mara, agalau tunaweza kuonana mara mbili au tatu kwa mwaka.

Anaweza kudai amenimisi sana( ofcourse hata mimi nammisi sana) nakuja kwangu mara nyingi hugharamia safari zake mwenyewe au mimi kama mwanaume namlipia kila kitu au kumrejeshea gharama zote na zawadi kedekede. Akifika kwangu huku Mkoani, Tendo moja tu yuko hoi tena la kawaida, hana hamu tena, na ananiuliza hivi tutarudia tena?? Nakereka sana.

Sasa huduma nimesitisha zile 50k na100k za hapa na pale simpi na wala simwambii kwa nini. Ni mwaka sasa shida zimemuota kwenye meno, kila siku analialia nimsaidie. Amechezea Bahati kwa kujiona yeye mzuri sana. Sitoi hata senti kila siku namsingizia Mh Rais Vyuma kakaza.

Wadada na wanawake Jifunzeni kwa hili Huduma mbovu haileti thawabu.

Nimepata Kifaa kipya
 
Wadada mnaopenda kuhudimiwa na wanaume( Karibu nyote mnapenda) mjipime na kujitafakarinkama huduma mnazotoa zinakidhi viwango au la!

Nimepata Kifaa kipya
We ndo mchovu usimsingizie huyo binti

Gari unatembeza maili chache tu linaishiwa mafuta afu unatafuta mchawi
 
We nae si umwambie tu ili km ni kujirekebisha afanye hivyo.
Au kwa sababu ya ubize wako nae kaamua kujiongeza kapata mwingine.
Au kwa vile mnakaa muda mrefu bila kuonana anakuwa ashasahau hayo mambo hahahhaha.
 
Mie ni mlokole kindaki ndaki, ila sishauri sana mtu kuoa/kuolewa na mtu ambaye hujawahi pima kiwango chake kuona kama kinakufaaa... Hizi ndoa zetu za Kikristo ni za kudumu... Ukisema eti hatu doo mpaka ndoa, unaingia kwenye ndoa na mtu afu unakuta kiwango chake haikufurahishi kutoka huwezi unabaki unajilaumu milele...
 
Mstari wa mwisho kabisa nimeupenda mno.

Hilo ni tatizo hasa kwa wanawake wanaoleta urembo hadi kwenye 6×6.

Lakini ungeanza kuongea naye ukamwambia kama hufurahii hali ya gori moja anasema harudii.!
Jamani hizi ni zama za nipe nikupe! Huu ndio ukweli wa maisha ya siku hizi.

Wadada mnaopenda kuhudimiwa na wanaume( Karibu nyote mnapenda) mjipime na kujitafakari kama huduma mnazotoa zinakidhi viwango au la!

Huyu mpenzi wangu mimi kutokana na kazi zangu za kuhudumia jamii, nakuwa bize sana mwaka hadi mwaka kiasi kwamba hatuonani mara kwa mara, agalau tunaweza kuonana mara mbili au tatu kwa mwaka.

Anaweza kudai amenimisi sana( ofcourse hata mimi nammisi sana) nakuja kwangu mara nyingi hugharamia safari zake mwenyewe au mimi kama mwanaume namlipia kila kitu au kumrejeshea gharama zote na zawadi kedekede. Akifika kwangu huku Mkoani, Tendo moja tu yuko hoi tena la kawaida, hana hamu tena, na ananiuliza hivi tutarudia tena?? Nakereka sana.

Sasa huduma nimesitisha zile 50k na100k za hapa na pale simpi na wala simwambii kwa nini. Ni mwaka sasa shida zimemuota kwenye meno, kila siku analialia nimsaidie. Amechezea Bahati kwa kujiona yeye mzuri sana. Sitoi hata senti kila siku namsingizia Mh Rais Vyuma kakaza.

Wadada na wanawake Jifunzeni kwa hili Huduma mbovu haileti thawabu.

Nimepata Kifaa kipya
 
Mie ni mlokole kindaki ndaki, ila sishauri sana mtu kuoa/kuolewa na mtu ambaye hujawahi pima kiwango chake kuona kama kinakufaaa... Hizi ndoa zetu za Kikristo ni za kudumu... Ukisema eti hatu doo mpaka ndoa, unaingia kwenye ndoa na mtu afu unakuta kiwango chake haikufurahishi kutoka huwezi unabaki unajilaumu milele...
Vipi kama mmepimana viwango mkafunga na ndoa baada ya wiki mwanaume akavunjika uti wa mgongo? Cha muhimu ni kumuomba Mungu awape uzima ya kesho hayatabiriki.
 
Back
Top Bottom