Inakera sana: Mtu umemlipia nauli kutoka mkoa hadi mkoa baada ya muda mrefu hamjaonana, akija gemu hafifu sana

Inakera sana: Mtu umemlipia nauli kutoka mkoa hadi mkoa baada ya muda mrefu hamjaonana, akija gemu hafifu sana

We ndo mchovu usimsingizie huyo binti

Gari unatembeza maili chache tu linaishiwa mafuta afu unatafuta mchawi
Mkuu sio kweli na ndio maana nalalamika katika uzi huu. Maana yake nishati ninyao ya kutosha tu. Fuel sio tatizo kabisa.
 
Maneno mengiiii, kumbe umepata kifaa kipya
Hapan mkuu kifaa kipya nimekitafuta baada ya Kukosa hisani kutoka kwa huyo kimwana mwingine ni mzuri lakini mishauo imenishinda ni mvivu kwenye mchezo.
 
Jamaa ana tatizo sio bure kwa mwaka anaonana na bae wake mara mbili tatu aiseee kuchapiwa hakukosekani. Yeye yupo list ya masponsor sio ya kupewa mambo mazito
Kwa hiyo mimi sponsor tu, inaniuma kweli.

Sada nimeshtuka watamsponsa wanaofurahia chura yake. Nimejitoa sibabaishwi na chura yake kama haina faida kwangu.
 
Vipi kama mmepimana viwango mkafunga na ndoa baada ya wiki mwanaume akavunjika uti wa mgongo? Cha muhimu ni kumuomba Mungu awape uzima ya kesho hayatabiriki.
Halafu sasa Demu huyu mwanza alikuwa anataka nimuoe, sasa tabia kama hizi mwanaume anaachaje kuchepuka?
 
Mstari wa mwisho kabisa nimeupenda mno.

Hilo ni tatizo hasa kwa wanawake wanaoleta urembo hadi kwenye 6×6.

Lakini ungeanza kuongea naye ukamwambia kama hufurahii hali ya gori moja anasema harudii.!
Wala sina haja ya kumbembeleza sana mkuu, ana umri wa miaka 30, sio mtoto huyu, hakuna asochokijua. Atakula ujeuri wake. Anyway wanaume ni wengi watampa anachotaka.
 
Loh! Nyie ndo walewale ukianza gemu unamlamba mtu mwli mzima kama nyoka, akitoka hapo mtoto wa watu ananuka mate mwili mzima, sasa ataacha kuuliza tutarudia tena mana akifikiria shurba ya mate hamu hana...[emoji16]
Hahahhaaa....Aisee umenichekesha sana leo, unalamba mtu mwili.mzima kama.nyoka
 
We nae si umwambie tu ili km ni kujirekebisha afanye hivyo.
Au kwa sababu ya ubize wako nae kaamua kujiongeza kapata mwingine.
Au kwa vile mnakaa muda mrefu bila kuonana anakuwa ashasahau hayo mambo hahahhaha.
Ni kweli niko bize lakini pale tunapopata wasaa si ndio tunge enjoy vizuri??
 
Jamani hizi ni zama za nipe nikupe! Huu ndio ukweli wa maisha ya siku hizi.

Wadada mnaopenda kuhudimiwa na wanaume( Karibu nyote mnapenda) mjipime na kujitafakari kama huduma mnazotoa zinakidhi viwango au la!

Huyu mpenzi wangu mimi kutokana na kazi zangu za kuhudumia jamii, nakuwa bize sana mwaka hadi mwaka kiasi kwamba hatuonani mara kwa mara, agalau tunaweza kuonana mara mbili au tatu kwa mwaka.

Anaweza kudai amenimisi sana( ofcourse hata mimi nammisi sana) nakuja kwangu mara nyingi hugharamia safari zake mwenyewe au mimi kama mwanaume namlipia kila kitu au kumrejeshea gharama zote na zawadi kedekede. Akifika kwangu huku Mkoani, Tendo moja tu yuko hoi tena la kawaida, hana hamu tena, na ananiuliza hivi tutarudia tena?? Nakereka sana.

Sasa huduma nimesitisha zile 50k na100k za hapa na pale simpi na wala simwambii kwa nini. Ni mwaka sasa shida zimemuota kwenye meno, kila siku analialia nimsaidie. Amechezea Bahati kwa kujiona yeye mzuri sana. Sitoi hata senti kila siku namsingizia Mh Rais Vyuma kakaza.

Wadada na wanawake Jifunzeni kwa hili Huduma mbovu haileti thawabu.

Nimepata Kifaa kipya
Serious unalalamika kutoa 50k au 100k?

Hiyo ni ya kutoa tu bro hata kama huna mpango naye iwe ni fadila ya namna mlifurahi pamoja huko nyuma mkuu
 
Umeona umtolee uvivu sio
Yaani ukiona demu hajitumi au baada ya bao moja hataki Tena ujue huna swaga zinazomvutia yaani kwenye romance hujamsisimua, kwenye game nako hakuna lolote. Unashindwaje kumbinua mwanamke utakavyo?? Yaani mapigo yako lazima yampe mzuka
 
Jamani hizi ni zama za nipe nikupe! Huu ndio ukweli wa maisha ya siku hizi.

Wadada mnaopenda kuhudimiwa na wanaume( Karibu nyote mnapenda) mjipime na kujitafakari kama huduma mnazotoa zinakidhi viwango au la!

Huyu mpenzi wangu mimi kutokana na kazi zangu za kuhudumia jamii, nakuwa bize sana mwaka hadi mwaka kiasi kwamba hatuonani mara kwa mara, agalau tunaweza kuonana mara mbili au tatu kwa mwaka.

Anaweza kudai amenimisi sana( ofcourse hata mimi nammisi sana) nakuja kwangu mara nyingi hugharamia safari zake mwenyewe au mimi kama mwanaume namlipia kila kitu au kumrejeshea gharama zote na zawadi kedekede. Akifika kwangu huku Mkoani, Tendo moja tu yuko hoi tena la kawaida, hana hamu tena, na ananiuliza hivi tutarudia tena?? Nakereka sana.

Sasa huduma nimesitisha zile 50k na100k za hapa na pale simpi na wala simwambii kwa nini. Ni mwaka sasa shida zimemuota kwenye meno, kila siku analialia nimsaidie. Amechezea Bahati kwa kujiona yeye mzuri sana. Sitoi hata senti kila siku namsingizia Mh Rais Vyuma kakaza.

Wadada na wanawake Jifunzeni kwa hili Huduma mbovu haileti thawabu.

Nimepata Kifaa kipya
[emoji23][emoji23][emoji23]kua mwanaume raha Sana
 
Yaani ukiona demu hajitumi au baada ya bao moja hataki Tena ujue huna swaga zinazomvutia yaani kwenye romance hujamsisimua, kwenye game nako hakuna lolote. Unashindwaje kumbinua mwanamke utakavyo?? Yaani mapigo yako lazima yampe mzuka
Haahaha sisi tusiojua kubinua tunapata shida sana
 
ilitakiwa uongee nae kwanza ujue shida ni nini, hao wanawake mara nyingi wanajifanyaga hawataki kumbe wanataka sana tu
Haijatokea mara moja wala mara mbili, nimemvumilia kama mwaka hivi, tumeonana mara tatu case hiyo hiyo, mimi natumia muda wangu ambao nauthamini sana ktk kuhudumia jamii achilia mbali cash ya kutosha nayotumia kuweka mazingira sawa kwa ajili yake halafu unakuja unaleta nyodo?? Huyu Demu kanidharau sana aisee.
 
Yani we jamaa kama ni kuchapiwa daaah!
Inawezekana anavyokuja kwako anakuwa kaja kula bata tu si vinginevyo
 
Back
Top Bottom