Inakera sana: Mtu umemlipia nauli kutoka mkoa hadi mkoa baada ya muda mrefu hamjaonana, akija gemu hafifu sana

Inakera sana: Mtu umemlipia nauli kutoka mkoa hadi mkoa baada ya muda mrefu hamjaonana, akija gemu hafifu sana

una tatizo wewe...kwa mwaka mara 2-3......mwache tu bidada asonge mbele.....
 
kwa mwaka wana duu 2-3......hata mgonjwa wa kisukari sio hivyo....iko shida kwa jamaa.....wajua mwili ukichoka ndo hamu inakuwa juu balaa......sasa huyu anatuabisha kweli........
Sasa kama tunafanya marachache si ndio tukikutana inabidi tulipizie na zile zote za nyuma?? Iweje round moja tu halafu.unauliza ati kwani tunarudia?? Mi namwambia hapana haturudii huku kwenye akili yangu nafanya deduction kwenye package niliyomwandalia ya zawadi. Atakula jeuri yake.
 
Basi hamuendani, ukute akikutana na mwingine anapiga show vizuri
Hahaaaaa lakini siku za nyuma wakati anataka nimuoe alikuwa anajitahidi, ningemuoa leo ingekula kwangu kwa gemu hili halina viwango kabisa yaani kitandani anajivutavuta weeee kama vile unamlazimisha.
 
Hahaaaaa lakini siku za nyuma wakati anataka nimuoe alikuwa anajitahidi, ningemuoa leo ingekula kwangu kwa gemu hili halina viwango kabisa yaani kitandani anajivutavuta weeee kama vile unamlazimisha.
Sio Kama alikuwa anajitahidi Bali alikuwa anakufeel, now hakuna feelings Tena. Kaeni chini muongee Kama mnapendana. Ama sivyo peaneni nafasi
 
Back
Top Bottom