KERO Inakera sinki za kukojolea za vyoo vya wanaume kukaribiana sana bila vitenganishi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mimi mara nyingi nikiwa na dharula kama hizo naingia chooni moja kwa moja..... mwanadamu asiyejali faragha ni sawa na hayawani.....

Si sahihi kuoneshana sehemu za Siri hadharani...... wakati mwingine unajikuta upo mstari na wajukuu kabisa....NOO
Dharula❌❌
 
Sisi wasukuma sio issue kwanza tunaoga Hadi bwawani na ziwani Kwa pamoja Wala hakuna shida.

Ninyi ndo mmesababisha hata tukienda loudge tukiwa wanaume wawili eti tulipie vyumba2.

moshi (New Castle hotel)Nilikataa nikamwambia kama atalala Bure sawa hicho chumba sitalipia

Yaani mdogo wangu nisilale nae?
 
Kulala wanaume wawili chumba kimoja kwa ajili ya kupunguza gharama au kama ni ndugu wala sio ishu, tatizo wabongo wengi wana allergy(mzio) na ushoga na viashiria vyake vya aina yoyote.
 
Kulala wanaume wawili chumba kimoja kwa ajili ya kupunguza gharama au kama ni ndugu wala sio ishu, tatizo wabongo wengi wana allergy(mzio) na ushoga na viashiria vyake vya aina yoyote.
Yeah nilimwambia mkuu kama unataka tulale Kila mtu chumba chake basi hicho chumba kimoja sitalipia haiwezekan nisafiri na mdogo wangu kutoka mbali kote huko wewe pekee ndo usiniamini hii haipo.

Alikubali mbona
 
Kwetu sisi wenye mguu wa mtoto ndio maeneo yetu hayo hakuna moment nakuwa nafuraha kama hyo nyie wenye vibamia na wasiotahiriwa ndio mnajificha
Umeshawahi kuona Marekani, UK, France, German wakifanya maonyesho ya silaha kwenye siku zao za kitaifa?
Hay mambo ya maonyesho ya silaha hufanywa na nchi kama Tanzania, North Korea, Burundi, Somalia, Uganda, Bukuna Faso, Mali n.k , nadhani umenielewa.
 
Ne
Nenda ukiwa umekosoa nyumbani kwako mkuu!
 
Kuna watu hawajui maana ya faragha.
Ndio maana Muslims wanajiendea tu straight chooni, kukojoa na kujisafisha.

Utupu wa mtu ni faragha ya mtu, inapaswa kuonwa na mke wa mhusika tu, kwa wengine labda itokee dharula.
Watu wanaokojoa hapo kwenye hayo masinki pichani ni wachafu sana imagine wote wanarudi kwenye gari na mikojo na inaonekana ndio uanaume!.
 
Nakazia.
Wanaohangaika kuficha ficha ni wenye vibamia 😂😂
Naona kama unakebehi vile. Hivyo vibamia wamejiumbia wao? Mbona mnakosa akili kiasi hiki. Yanini kumkebehi mtu juu ya maumbile aliyojaliwa na Muumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…