KERO Inakera sinki za kukojolea za vyoo vya wanaume kukaribiana sana bila vitenganishi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wasiwasi wa nini ?! Au hujaonana na ngariba ??!
 
Kuna jamaa alitoa dudu nyuma yangu na akati sijamliza kujoo ile nageuka nyuma nikakutana nalo nilijisikia vibaya sana
 
Yeah nilimwambia mkuu kama unataka tulale Kila mtu chumba chake basi hicho chumba kimoja sitalipia haiwezekan nisafiri na mdogo wangu kutoka mbali kote huko wewe pekee ndo usiniamini hii haipo.

Alikubali mbona
Hahah umenikumbusha jamaa zangu walienda Zenji sasa ile kutafuta lodge muhudumu anawauliza vipi hadi asubuhi au show time.

They were like What The Fck?!!!!
 
Hili nalo la vyoo vya bar kuwa karibu karibu utasikikia nalo kuna watu wanamlaumu Mama Samia
 
Hili nalo la vyoo vya bar kuwa karibu karibu utasikikia nalo kuna watu wanamlaumu Mama Samia
 
Hivyo vyoo vya kishenzi sana
Kuna siku nmeingia nakojoa akaja mshkaji alikuwa ni africast nashangaa mwanaume mwenzng kasogea karbu anaduwaa kabisa kama dem nilimrudsha mjomba asumani mbio nkasepa
 
Mimi mara nyingi nikiwa na dharula kama hizo naingia chooni moja kwa moja..... mwanadamu asiyejali faragha ni sawa na hayawani.....

Si sahihi kuoneshana sehemu za Siri hadharani...... wakati mwingine unajikuta upo mstari na wajukuu kabisa....NOO
Nakuunga mkono asilimia 100 mkuu yani hii hali siyo mzuri kabisa unakojoa eti upo na wadogo zako wanakucheki
 
Mimi mara nyingi nikiwa na dharula kama hizo naingia chooni moja kwa moja..... mwanadamu asiyejali faragha ni sawa na hayawani.....

Si sahihi kuoneshana sehemu za Siri hadharani...... wakati mwingine unajikuta upo mstari na wajukuu kabisa....NOO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had baas. Lol
 
Wakati fulani na mazingira fulani ni afya kukojoa kwa makundi au ukimuona mwenzako anakojoa na wewe unajisikia kukojoa, naona ina faida sana kiafya. Sioni tatizo!
 
Hili nalo la vyoo vya bar kuwa karibu karibu utasikikia nalo kuna watu wanamlaumu Mama Samia
Bora wanaoweka hata hayo Masink, Kuna Ile wanatengeneza kama kimtaro wanakiwekea Hadi tiles kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…