Inakuaje bei za mafuta kwenye soko la dunia zinashuka ila Tanzania zinazidi kupanda?

Mwanzoni mwa mfumuko wa bei tulisema ,wakaja wachumi uchwara kisa makaratasi yao na hoja za hovyo, Sasa Hali ni mbaya kuliko maelezo
 
wakati watu wanapambana na iflations Raisi wenu yuko bize na safari.za kila mara na visherehe uchwara yaani kila sehemu yupo mfano juzi kuwaapisha wakuu wa mikoa ni hela zetu zinatumika ovyo majitu yanaenda kula na kupokea posho hali ngumu hata kuwaza namna ya kupunguza matumizi hakuna
 
Haya mafuta sio ya July. Pengine yaliagizwa May au June.
Ila mambo ndio kama hivyo.....
 
Mbona kwenye kupandisha bei hii pointi haiapply?
 
Haya mafuta sio ya July. Pengine yaliagizwa May au June.
Ila mambo ndio kama hivyo.....
Kwa hiyo bado tunabahatisha ili kuitetea serikali
Lakini hata hivyo bei ya mafuta kwenye soko la dunia ilifika kwenye peak mwezi Februari mwaka huu, baada ya hapo ikawa inashuka na kuna saa kipindi ikawa inapanda, lakini kwa Tanzania imekuwa ikipanda tu steadly ina maana bado haijafika hata peak, na hatujui peak yake ni lini
 
Si mmekabidhi nchi kwa wapigadili mtakiona cha mtema kuni, Magufuli aliongea sana mkaishia kumuita raisi mshamba [emoji23][emoji23][emoji23] sasa wajanja ndio hao wako kuwalazeni njaa
nchi ipo kwa wapiga dili yaani ni golden chance never come twice,kwa hiyo wanaitumia ipasavyo ndo wenye sheli zao utawaambia nini
 
Athari ya BULK PROCUREMENT..
Mafuta yanayouzwa leo yalinunuliwa miezi 2 au 3 ya nyuma
 
Wewe ni mpuuzi tu mlamba asali, mbona wakitangazaga bei kupanda kwanye soko huku hawachelewi kupandisha hata kama wanastock ya kutosha.Samia anashirikiana na wezi kuibia watanganyika
 
Tangu lini umekuwa msemaji wa Serikali?
 
Pack tu au uza Mkuu
 
Yaendeelee tu kupanda, maumivu haya ndo yatasaidia wote Kwa pamoja kuungana kuikataa Serikali chini ya CCM.

Kila jambo Huwa na pande mbili.

Tusubiri.
 
Mliowapa ushangazi wa taifa awamu ya tano kimya ..

Mliompa udada wa taifa awamu ile ya tano kimya......

Wanasiasa wetu aka waganga njaa kimya.....

Wanaharakati nao...

Ila hii issues ingetokea awamu ya Mwendazake zake twitter/social networks kungelipuka, matamko yange tamalaki,nyaraka zingekuwa zimetapakaa sasa hivi........

Ila baadae ukikaa chini unakuja kugundua wengi sana waliokuwa wakipiga kelele mambo yao ya kimagumashi yali minywa, ila sasa nao sijui nao wanalamba sukari au sijui ndio wanaishi Burundi ndio maana bei hazi wahusu.

Ila sio mbaya kwani bei hizi ni kwa Sukuma Gang na hazi wahusu,wale wenye mimba za chuki za Mwendazake ambazo zimekataa kukomaa.

Alisika mlamba sukari mmoja "acheni legacy yake ijitete.........",sasa sijui alizania legacy ni mzimu wa Mwendazake ila kadri muda unavyo enda jina la Mwendazake linazidi kutajwa.

Ninapo chokaga mafuta yanapanda saa tatu usiku, saa nne mafuta hayapo ,saa sita mafuta yanaanza kupatikana,ila ya kishuka kidogo wafanya biashara wanapewa mda mpaka wamalize shehena yao ya kipanda hawapewi mda wa kumaliza shehena yao yaani UHUNI UHUNI tu.

Na hapa ngoma bado Russia na Ukraine ile show haishi leo wala kesho.Ila mzee wa Schedule Maintenance aka Mwezi wa kwanza anagawa mitungi ya gesi may be wenye magari nao wasubirie zamu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…