Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #61
Asante huyo jamaa anadhani wote hapa wajinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante huyo jamaa anadhani wote hapa wajinga
Mwanzoni mwa mfumuko wa bei tulisema ,wakaja wachumi uchwara kisa makaratasi yao na hoja za hovyo, Sasa Hali ni mbaya kuliko maelezoWakuu habari,
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia.
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka siku za karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa miezi michache nyuma lakini hivi sasa ni Dola 98 Serikali inatumia kikokotoo gani?
Nimeweka hiyo chart hapo chini ambayo inaonyesha mafuta yalikuwa ghali zaidi kwenye mwezi Februari na Machi yakifika hadi Dola 124 kwa pipa.
Lakini tangu mwezi Juni yalikuwa kwenye Dola 103 na yamekuwa yakishuka na hadi kufikia hata chini ya Dola 94 siku za karibuni.
Iweje TZ yanazidi kupanda kila mwezi?
Au basi yabaki hata bei ileile angalau?
Au haya mafuta yatakayouzwa kesho kwa bei mpya ambayo ndiyo ya juu zaidi kutokea yaliagizwa lini kwa bei gani?
View attachment 2312442
Kwa hiyo kupanda kwa matuta ghafi kunasababisha mafuta ya kwenye gari kupanda ila ghafi yakishuka tunaambiwa hayo sio ya kweye gari?Hiyo bei kwa pipa ni mafuta ghafi mkuu sio haya unayoweka kwenye Gari.
Haya mafuta sio ya July. Pengine yaliagizwa May au June.Wakuu habari,
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia.
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka siku za karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa miezi michache nyuma lakini hivi sasa ni Dola 98 Serikali inatumia kikokotoo gani?
Nimeweka hiyo chart hapo chini ambayo inaonyesha mafuta yalikuwa ghali zaidi kwenye mwezi Februari na Machi yakifika hadi Dola 124 kwa pipa.
Lakini tangu mwezi Juni yalikuwa kwenye Dola 103 na yamekuwa yakishuka na hadi kufikia hata chini ya Dola 94 siku za karibuni.
Iweje TZ yanazidi kupanda kila mwezi?
Au basi yabaki hata bei ileile angalau?
Au haya mafuta yatakayouzwa kesho kwa bei mpya ambayo ndiyo ya juu zaidi kutokea yaliagizwa lini kwa bei gani?
View attachment 2312442
Usafirishaji wa mafuta sio kama PEDI mkuu, mafuta usafirishaji wake ni very technical na unachukua muda mrefu kufika sehemu husika hasa ukanda wetu huu.
Kama mafuta yameshuka soko la dunia basi effect utaanza kuiona mwezi ujao na sio huu kwani Shehena ya mwezi ujao ndio inafungwa mwezi huu.
Tumia akili yako vizuri, na acha kukurupuka kama POPOMA.
Kwa hiyo bado tunabahatisha ili kuitetea serikaliHaya mafuta sio ya July. Pengine yaliagizwa May au June.
Ila mambo ndio kama hivyo.....
nchi ipo kwa wapiga dili yaani ni golden chance never come twice,kwa hiyo wanaitumia ipasavyo ndo wenye sheli zao utawaambia niniSi mmekabidhi nchi kwa wapigadili mtakiona cha mtema kuni, Magufuli aliongea sana mkaishia kumuita raisi mshamba [emoji23][emoji23][emoji23] sasa wajanja ndio hao wako kuwalazeni njaa
Wakuu habari,
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia.
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini tangia juni bei zilikuwa zinashuka na hadi sasa ni Dola 98 Serikali inatumia kikokotoo gani?
Nimeweka hiyo chart hapo chini ambayo inaonyesha mafuta yalikuwa ghali zaidi kwenye mwezi Februari na Machi yakifika hadi Dola 124 kwa pipa.
Lakini tangu mwezi Juni yalikuwa kwenye Dola 103 na yamekuwa yakishuka na hadi kufikia hata chini ya Dola 94 siku za karibuni.
Iweje TZ yanazidi kupanda kila mwezi?
Au basi yabaki hata bei ileile angalau?
Au haya mafuta yatakayouzwa kesho kwa bei mpya ambayo ndiyo ya juu zaidi kutokea yaliagizwa lini kwa bei gani?
View attachment 2312442
kwenye gari unaweka udongo?Hiyo bei kwa pipa ni mafuta ghafi mkuu sio haya unayoweka kwenye Gari.
Wewe ni mpuuzi tu mlamba asali, mbona wakitangazaga bei kupanda kwanye soko huku hawachelewi kupandisha hata kama wanastock ya kutosha.Samia anashirikiana na wezi kuibia watanganyikaUsafirishaji wa mafuta sio kama PEDI mkuu, mafuta usafirishaji wake ni very technical na unachukua muda mrefu kufika sehemu husika hasa ukanda wetu huu.
Kama mafuta yameshuka soko la dunia basi effect utaanza kuiona mwezi ujao na sio huu kwani Shehena ya mwezi ujao ndio inafungwa mwezi huu.
Tumia akili yako vizuri, na acha kukurupuka kama POPOMA.
Tangu lini umekuwa msemaji wa Serikali?Usafirishaji wa mafuta sio kama PEDI mkuu, mafuta usafirishaji wake ni very technical na unachukua muda mrefu kufika sehemu husika hasa ukanda wetu huu.
Kama mafuta yameshuka soko la dunia basi effect utaanza kuiona mwezi ujao na sio huu kwani Shehena ya mwezi ujao ndio inafungwa mwezi huu.
Tumia akili yako vizuri, na acha kukurupuka kama POPOMA.
Wazee WA lake oil, msoga Fcnchi ipo kwa wapiga dili yaani ni golden chance never come twice,kwa hiyo wanaitumia ipasavyo ndo wenye sheli zao utawaambia nini
Umenena vyema, vp Hadi Dec Makamba Bado atakuwa waziri?Actually effect itaonekana mwezi October au November!
Siyo haraka kiasi hicho..
Pack tu au uza MkuuWakuu habari,
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia.
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini tangia juni bei zilikuwa zinashuka na hadi sasa ni Dola 94 Serikali inatumia kikokotoo gani?
Nimeweka hiyo chart hapo chini ambayo inaonyesha mafuta yalikuwa ghali zaidi kwenye mwezi Februari na Machi yakifika hadi Dola 124 kwa pipa.
Lakini tangu mwezi Juni yalikuwa kwenye Dola 103 na yamekuwa yakishuka na hadi kufikia hata chini ya Dola 94 siku za karibuni.
Iweje TZ yanazidi kupanda kila mwezi?
Au basi yabaki hata bei ileile angalau?
Au haya mafuta yatakayouzwa kesho kwa bei mpya ambayo ndiyo ya juu zaidi kutokea yaliagizwa lini kwa bei gani?
View attachment 2312442
Yaendeelee tu kupanda, maumivu haya ndo yatasaidia wote Kwa pamoja kuungana kuikataa Serikali chini ya CCM.Wakuu habari,