Inakuaje hadi unakula mpangaji mwenzio au mwenye nyumba? Ujinga tu. Acha!

Inakuaje hadi unakula mpangaji mwenzio au mwenye nyumba? Ujinga tu. Acha!

jastertz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
407
Reaction score
768
Hili suala la kugongeana wapangaji sijui wenye nyumba kwangu halijakaa poa kabisa.

Unajua kabisa ana mtu wake either anakuja au anaishi hapo, hadi muda mwingine wakiwa ndani unapunguza sauti ya redio yako usikie wanachofanya and then akiondoka na wewe unamendea.

Unaona mwamba/demu kaingiza watu wanne ndani ya mwezi na wewe umo hata hustuki.

Acheni sijapenda.

😀😀😀😀😀sasa unakuja kutuambia sisi si umwambie mwenyewe huko

Enewei kapnge stand alone uepuko hizo kero bwana au jenga kwako
Nina kwangu.
 
Mimi wapangaji wote wa kike lazima niwale kwenye hii nyumba siangalii sura,umbo, tako na vingine vinavofanana na hivo ili kutengeneza mazingira furahi hivi ya kutoendelea kula gengeni
 
Huo utaratibu wa kutupangia watu wa kutoka nao kimapenzi umeanza lini?? Tena umenikumbusha jirani yangu kaniita amesema niende na condom sijui Kuna Nini ngoja nikamsikilize.
 
Mimi wapangaji wote wa kike lazima niwale kwenye hii nyumba siangalii sura,umbo, tako na vingine vinavofanana na hivo ili kutengeneza mazingira furahi hivi ya kutoendelea kula gengeni
😂 😂 😂 😂 😂 daah umetisha mwamba
 
Back
Top Bottom